Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi
Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.
Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.