Uchaguzi 2020 Prof. Kabudi bila mbeleko Kilosa ubunge mgumu kwake. Warabu wa Kilosa wanamzidi kutamka majina ya vijiji vya Kilosa

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
24,841
2,000
Mpango buhigwe
Ndalichako kasulu
Kilosa kabudi
Halafu wote watatu hawajui kujieleza mbele ya wananchi wasio na elimu(Majority),wakianza kuleta takwimu zao zile za ki PH.d kwny mikutano ya hadhara wananzengo watawapa majibu yao.
 
TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,832
2,000
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.

Kama Kabudi hafai kagombee wewe wa Kilosa. Watu wengine mnakuwaga na roho ya kutu kuliko hata Shetani.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
4,214
2,000
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Kwani Palamagamba ni mgogo, mluguru au mkaguru ?
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
2,151
2,000
Halafu wote watatu hawajui kujieleza mbele ya wananchi wasio na elimu(Majority),wakianza kuleta takwimu zao zile za ki PH.d kwny mikutano ya hadhara wananzengo watawapa majibu yao.
Mwenzao Tulia ame invest muda sana ili kutambulika na wana Mbeya, japo sio guarantee atashinda.

Kabudi kushinda tu kura ya maoni ndani ya itakuwa shida hana ushawishi Kilosa wananchi wenyewe wameshangazwa kama ni wa kwao, alitumia nguvu kweli kujifanya mwenyeji.

CCM ata wakikata wamuweke yeye kwa lazima kama mgombea chances hilo jimbo litaenda upinzani. Mtu pekee anae muelewa Kabudi ni Magufuli inawezekana kweli anamfanyia kazi nzuri na hilo ndio la msingi boss afurahi.

Ila kwa mtazamo wa wengi Kabudi ni kituko hana lugha ya ushawishi. Kama Boss wake amefurahishwa sana na kazi yake amteue tena, kumlazimishia jimbo kama uchaguzi ni fair ashindi.
 
Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,397
2,000
Mwenzao Tulia ame invest muda sana ili kutambulika na wana mbaya, ata kama sio guarantee atashinda.

Kabudi kushinda tu kura ya maoni ndani ya itakuwa shida hana ushawishi Kilosa wananchi wenyewe wameshangazwa kama ni wa kwao, alitumia nguvu kweli kujifanya mwenyeji.

CCM ata wakikata wamuweke yeye kwa lazima kama mgombea chances hilo jimbo litaenda upinzani.
Jimbo litaenda upinzani wewe ndio unayetangaza??
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
2,151
2,000
Jimbo litaenda upinzani wewe ndio unayetangaza??
Aitokuwa mara ya kwanza CCM wanapolazimisha kutoa popular local candidates na kulazimisha mambo.

Kabudi ajulikani Kilosa mwanasiasa ni product na brand awareness ni muhimu kwa wapiga kura, hiko ndio kitu Tulia amekuwa akifanya kujulikana na wapiga kura yeye ni nani.

Kwenda kupeleka mtu ambae kwanza hajui porojo wala kuongea na watu wa chini kwa staha uitaji kuwa na kampuni ya marketing kubwa duniani kama Saatchi & Saatchi kujua mgombea wa upinzani anaejulikana na Kabudi nani atashinda Kilosa.

I am a betting
 
Ban Barka

Member
Nov 28, 2019
80
125
Katika siasa ya mambo ya nje tumekuwa tukijipendekeza mno kwa Marekani na Israel
Angalia kura za Tanzania huko Umoja wa Mataifa
Halafu eti tunawakataa mabeberu!
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,462
2,000
Kabudi anachukua jimbo bila tashwishwi wala kupepesa macho! Wananchi wenyewe kama ndio wale niliowaona kwenye mkutano na mkuu nimegundua Tanzania bado sana
 
lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,780
2,000
Kwani lazima agombee Morogoro kilosa!!!
Kwanini asigombee jimbo la Chato kama Mkulu anampenda. Asituletee mikosi tulonayo Morogoro inatosha.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
5,369
2,000
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi

Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea matamshi, Kabudi anatafuta jimbo hilo hata Rais anaonekana kumsaidia pale alipompatia kazi ya kushughulikia malalamiko ya wananchi yaliyo nje ya wizara yake. Prof Kabudi hajui mipaka ya jimbo lake, hana nyumba jimboni hapo, hana ndugu anayemjua hapo labda aanze kuwatafuta, hata akiambiwa ataje jina la jirani yake Kilosa wala balozi hawajui.

Prof. Kabudi sidhani hata watoto wake kwenye wasifu wao kama wanajitambulisha kama wenyeji wa Kilosa. Itoshe tu kusema afadhari kuchagua mwarabu wa Kilosa kuliko Prof. Kabudi. Huyu alidai aliokotwa jalalani na Rais itoshe aendelee kuwa mbunge wa jimbo la Jalalani.
Mnaupiga vita ukabila na ukanda huku mkiuendekeza. Wenje alikuwa na udugu gani wakati anagombea hapa Nyamagana?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom