unahoji kama nani,chadema inakuhusu nini
Pro J wa CDM ndo nani huyo, anawadhifa gani katika Chama hadi kuwa mgeni rasmi? Nauliza tu?
another lema aka sugu aka kibajaji. ewe mungu tuepushie mbali na misukule inayokwenda kula kodi zetu bure.Chadema n kama tanuli la kufua viongozi... Hakika Prof J amekwiva kisiasa kwa sasa