Prof Issa Shivji: Kwanini tunasherehekea uhuru kwa vitisho vya majeshi badala ya matukio yaliyobeba ujumbe wa amani na umoja wetu?

Pale unaoneshwa tu kwamba nani anaamrisha hapa, jaribu ku test uone.

Ndiyo maana hata hizo sikukuu mkuu mmoja tu akiamua kuzi cancel anazi cancel kwa sababu zake za kitoto. Bila haja ya mjadala wa bunge wala kupiga kura.

Na watu wanamshangilia tu.

Akiamua kuzirudisha anazirudisha, kama vile zile sababu za ku cancel alizotoa zimeisha.

Na watu wanamshangilia tu.

Tunaoneshwa tu nani mwamba hapa.
akicancel wanashangilia,
akirudisha wanashangilia.

kama ng’ombe.
 
Amenena Prof mwenyewe wa ukweli. Mimi ni nani wa kumpinga mwalimu wangu?

View attachment 1288317
=====
Enyi WatuWema Mnijibu kwa dhati. Kwa nini Tusisherehekee Uhuru Kwa maua, michezo na marashi? Kwa nini Tusisherehekee Uhuru Kwa mikongamano, mikutano na mihadhara? Kwa nini Tunasherehekea Uhuru Kwa gwaride, vifaru na ndege za kivita Kwa mabomu ya machozi na mabunduki ya kutisha?
Mimi MtuMwema nasema WAELEWAAA MAZOEEAA YANA TABU LAKINI TUTAJITAHIDIII KUSAHAU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Shivji hajui kwanini State inadispaly power yake? Anaishi dunia ipi?. Alimsoma kweli Niccolo Machiavellian?. Aliisoma theory ya Realism on Soverrignty of state au amejivisha upofu na uwendawazimu kujifanya haujui ukweli!. State means power mzee Shivji, toka huko kwenye ujamaa wako mfu njoo kwenye real world!! The world is now competing for primacy and suoremacy so dispalying weapons and army in general means showing the power of state
 
Kwa muktadha huu napendekeza maonesho ya gwaride la majeshi na silaha za kivita lifanyike siku ya kumbukizi ya kuanzishwa kwa jeshi na si siku ya uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewaje makomandoo wanaposema wanaokoa mtu maarufu? Au mtu maarufu hawezi kuwa mfanyabiashara? Mkuu kama huna utetezi wenye mashiko soma comments tu maana huna unachopoteza.
Kwa hiyo ulitaka siku ile Mo wakati anatekwa wale makomandoo wa jeshi la wananchi wawepo pale Gym Masaki!!??.

Mambo hayaendi hivyo, wanatekwa mabilionea Marekani na Ulaya na huko ndiko kwenye shule za juu kabisa za ukomandoo.

Mo Dewji ajipange yeye kama yeye kama anayo madeni na awalipe wanaomdai.
 
Duuu, hapo umemaliza utetezi?
 
akicancel wanashangilia,
akirudisha wanashangilia.

kama ng’ombe.
Kipindi hicho Lebanon ina vita kali kati ya wanajeshi wa Kiislamu na Kikristo, una raia fulani wa Lebanon, wanavijiji, walikuwa na falsafa yao ya ku deal na wanajeshi hawa wanaopigana.

Wakija wanajeshi wa Kikristo na kuwauliza, "Nyie dini gani? Wanakijiji wanasema "Sisi Wakristo".

Wakija Wanajeshi Waislamu, wakiwauliza wanakijiji, "Nyie dini gani?", wanasema "Sisi Waislamu".

Mradi wasalimike tu.

Ndiyo maisha ya Watanzania wengi siku hizi.

Atakachosema mkubwa we kubali, shangilia tu.

Mradi usalimike.

Ukijifanya Kiranga utakwenda na maji. Utachinjiwa baharini bila kuelekezwa Kibla.
 
Mlipigana na nani kupata uhuru? Mwingereza?

Hatufanyi vitisho vya kijeshi bali maonesho ya kijeshi

Lazima tuwe na jeshi imara hatuwezi kuwa maboya boya

Mwisho wa siku hata kiinchi kama burundi kije kitutwange kiondoke na rasilimali zetu

Makongamano huwa yanafanyika vyuo vikuu

Marashi yako Zanzibar

Maua ni wakati wa mkesha wa pasaka

Lakin siyo siku ya uhuru

Siku ya uhuru ni kijeshi jeshi
 
Kula tano
Ila ni kweli ideologically dunia inatoka kwenye uncivilized era ambako mizinga ,mapanga,king'oana meno, genocide ,vifaru ,mabomu ,ruthless killings etc kwenda kwenye civilized ,sasa kwanini matendo hayaakisi

Kwani tunajiandaa na vita?Au kupigana vita ni umahili wa kistaarabu(war)?

Tungeonyesha achievement zaidi za social prosperity ,cohesion na civilization !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
tapatalk_1576080340518.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shivji anazeeka vibaya
Jeshi bora ni matunda ya uhuru
Si vibaya kuoneshana nguvu zetu za kijeshi kama ni matunda ya kuwa huru
 
Je ni jeshi tu ndio matunda ya Uhuru

Je mpaka Leo marekan wanasherrkea Uhuru day kama sisi?
Je miaka 200 ya Uhuru tutasherekea au tutakuwa tumeacha?
Asili ya sherehe hizi ni mwalimu kuiga kanisani juu ya umuhimu was historia pamoja na kujiaminisha kwa mataifa juu ya umuhimu wetu wa kuwa huru pia hakuna mwenye uwezo wa kututawala tena kwan uwezo tunao
Shivji anazeeka vibaya
Jeshi bora ni matunda ya uhuru
Si vibaya kuoneshana nguvu zetu za kijeshi kama ni matunda ya kuwa huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom