Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Kama TBC walifanya ivyo kudos hila uhuru sio Nyerere pekee ndio siku pia ya kusimulia pilika za TANU jitahada za wengine kama wale mzee Mohammed Said kila siku anaowaongelea, kipindi hiki tunataka kusikia interviews za watu caliber ya mzee Lusinde Machela (kaka mkubwa wa John malecela) na wengineo waliokuwa hai tangu serikari ya mwanzo ata raia wa kawaida wakielezea jamii ya miaka hiyo; etc with the history of the day, heroic tales of other and prior events.TBC walikuwa wanatoa hotuba mbali mbali za Baba wa Taifa tangu enzi za AA, TAA hadi TANU na baadaye uhuru.
Unataka kipindi hiki mashuleni walimu watumie jitihada kuwaelewesha wanafunzi nini maana ya hii siku na kulikuwa na madhara gani, kwanini wawe wazalendo, wawashirikise wanafunzi kwa ubunifu wao kimatendo kama sehemu ya nationalism propaganda.
Unataka serikari za halmashauri ziweke jitihada siku/ wiki kadhaa kuelekea sherehe za uhuru kuhimiza matendo ya uzalendo etc kwa ubunifu wao serikari lazima itoe central theme ya kitu kinachoenziwa kwenye siku ya uhuru na event zote zitakazofanyika kwengine zifanane.
Ni hivi uwezi sherekea Diwali (siku ambayo mwanga umeushinda giza) bila ya kurusha mabaruti.
Ata kwa upande wa sherehe za dini kama Iddi zote, Pasaka na Christmas zina ritual zake ambazo waumini wanazitekeleza; hiyo ni sehemu ya kuwekea meaning sherehe.
Similarly National Days kwa wenzetu wanaziwekea meaning na kusudi jamii ishariki au ipate elimu on the significance of the day; that is what make it special na kutengeneza propaganda za nationalism.
To make something special, you got to make people believe it’s special.
Sasa unafanya sherehe ya uhuru mipicha ya ndege za ATCL ina uhusiano gani, kwangaru ya nini, picha la Samia Suluhu, Kassim Majaliwa na Magu lina symbolise nini.
Mimi sina shida na jeshi, isipokuwa the whole event for the most was pathetic it doesn’t symbolise independence bali ni kuhusu mtukufu Magu na jeshi ( halafu hao jeshi si wanasiku yao ya kumbukumbu).