Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
Hayo nayo ni magazeti?sidhani kama mtu ananunua upuuzi huo wa TAZAMA na UHURUFront page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
na bado nyie maccm mtaendelea kupumulia mashine mpaka 2015UKAWA bye bye.....wakaanga sumu mtajibeba.....Jibu hoja sio kutoa mapovu tu
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
Ahsanteh mkuu, umemaliza!
na bado nyie maccm mtaendelea kupumulia mashine mpaka 2015