Maprofesa wamekuwa watu wa kujidhalilisha sana huyo amejitoa ufahamu anataka kuteuliwa nae huoni Profesa Lipumba analala kazini buguruniNimesikia profesa yuko sahihi kabisa Ila usipende kusikia kinachokufurahisha tu...Pendant kusikia vitu vya kweli..Profesa yuko sawa kabisa kiuchumi lakini
Mkuu Salary Slip, mimi ni miongoni mwa tuliomsikia Semboja na alichosema ndio ukweli halisi wa kiuchumi, ila uelewa wa Watanzania wengi kwa hoja za kiuchumi, ndio uelewa kama huu wa kwako.Huyu Prof. amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ametetea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Prof. huyo wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam alihojiwa kutoa maoni yake baada ya Mh.Mnyika kuelezea mapungufu ya Bajeti hiyo akiwa mkoani Tanga.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Agili vilaza kama wewe huwa zinafurahi pale yanayosemwa ni yale akili hizo hudhania kuwa kweli. Ndiyo maana huyo ni prof. Na wewe ni kilazaMaprofessor wetu wananipa shaka kufikiria kusoma PhD kama nitakujakufikiria kama wao bora nisipoteze muda wangu
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Hoja ni kwanini hajaongelea kukwama kwa fedha za ndani?Mkuu Salary Slip, mimi ni miongoni mwa tuliomsikia Semboja na alichosema ndio ukweli halisi wa kiuchumi, ila uelewa wa Watanzania wengi kwa hoja za kiuchumi, ndio uelewa kama huu wa kwako.
Alichosema ni miradi ya maendeleo inatelelezwa kwa kipindi kirefu kama a 5-Year Plan.
Bajeti inayopitishwa leo ya utekelezaji miradi hiyo hupitishwa bajeti yote ya miaka 5 at a go, ila utekelezaji hupangwa kwa awamu, hivyo fedha hutolewa kwa awamu, na akasema ni kawaida kwa utekelezaji wa miradi mingi kuanza very slow kwa muda mrefu kutumika kwa mobilization hivyo it's normal kutolewa fedha kidogo.
Semboja akasema we are on the right direction kwa hicho kidogo kilichotolewa, hivyo akasema wafadhili wame hold ahadi zao mwanzoni tuu lakini wakiona tunachotoa na tunachokifanya kwa kidogo chetu, then watanitokeza na kutupatia hicho kikubwa walichoahidi.
Paskali
Kwsni kuna mtu ambaye halijui hilo? Hoja hapa je kweli hiyo pesa ya maendelea bilioni 11 iliyopitishwa mwaka jana hadi sasa imetoka bilioni 3!na mwaka ndio unamalizika hivyo ni sahihi?! Na hata waziri husika amesema kuna ukosefu wa pesa serikalini ndio maana wameshindwa kuitoa pesa inayotakiwa!! Na huyo prof. Angetakiwa kusema ni kwanini wafadhiri wamegoma kutoa hiyo pesa!! Ndio unaonekana unatendea vema usomi wako ila kwakuwa ni kujipendekeza labda nitapata cheo chochote mbeleni lazima nijipendekeze!!Katika nchi ambayo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa uchumi, kumuelewa Prof ni vigumu sana. Lakini alichosema miradi mingi ya serikali ina hatua, Serikali hutoa pesa kwa awamu kulingana na hatua inayofikiwa, haiwezi ukatoa pesa zote za mradi kwenye hatua moja mf. Upembuzi. Na wafadhiri wanatoa pesa baada ya kukagua utekelezaji wa kila hatua;;
Soma vizuri post yako, kama unaielewa basi unapaswa kuelekea mirembeAgili vilaza kama wewe huwa zinafurahi pale yanayosemwa ni yale akili hizo hudhania kuwa kweli. Ndiyo maana huyo ni prof. Na wewe ni kilaza
wakina Mbowe wanakwepa kulipa kodi unategemea hizo fedha za ndani zitatosha kweli?Mbona kajifanya kama vile hajui kuwa katika hizo trilioni 11 kuna fedha za ndani pia?Kwanini kahusisha kukwama huko kwa Bajeti na kukosekana kwa fedha za kutoka nje ya nchi tu bila kuongelea na kukwama kwa fedha za ndani?Anafichi nini?
Yeah mwalimu wa uchumi chuo kikuu cha dar es salaamkumbe ni mwalimu wa uchumi.
Ni ajabu manake juzi kati aliitwa TBC kuchambua uchakataji wa michanga ya Magufuli na vinu vya moto vinavyohitajika kutenganisha shaba, dhahabu, zebaki, chuma na mengineyo.
Kumbe ITV kaenda kushuka ma equation ya uchumi... duuuh!