Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,623
- 164,679
Muda utaendelea kuwaaumbua tu.Ulitakaje?.haya toa maoni yako sasa
Wooooote hakuna profesa ila woga na proppesa. labda atakumbukwa maana profesa wanachaguliwa sanaHuyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ameteea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Ukistaajabu ya Prof .semboje utayaona ya Prof. LipumbaHuyu Prof.amehojiwa kupitia ITV ili atoe maoni yake kuhusu serikali kutoa trilioni 3.1 mpaka sasa badala ya trilioni 11 za Bajeti na katika majibu yake ameteea kuwa hali hiyo imetokana na wafadhili kutotoa fedha walizoahidi bila kugusia fedha za ndani ambazo nazo zilipaswa kutolewa ili kuchangia Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Mliomsikia mtakuwa mashahidi.
Basi tusikie ya Profesa Lisa na Pofesa Mbowimaoni ya profesa wangu huyu nayashangaa, na juzi juzi nilisoma kwenye gazeti kuhusu maoni yake kuhusu utata wa majina ya mkuu wa mkoa wa DSM nilishangaa maoni yake.