Unakumbuka alikwenda MSITUNI kuwa MPINZANI wa MUBUTU Zaire... na alikuwa na CHAMA CHAKE tofauti na CHA MZEE KABILA... lakini MIZENGWE ilimshinda akawafuata wanae USA
Prof. Wamba Dia Wamba kama sikosei ni miongoni mwa Maprofesor wachache ambao hawasoma Degree.
Ni professor ambaye hakufanya Phd!
Wenzako wanaandika vyuo alivyoenda; wewe wasimulia story za mtaani.Prof. Wamba Dia Wamba kama sikosei ni miongoni mwa Maprofesor wachache ambao hawasoma Degree.
Ni professor ambaye hakufanya Phd!
Si lazima kuwa na PhD ili kuwa professor. ..
Kwani kuwa Professor ni hadi usome PHD?
Jamaa kwa sasa ni raia wa Marekani kwa kuwa mke wake Elaine ni Mmarekani, watoto wake nadhani ni wabelgiji si wamarekani, japo kwa kuwa mama yao ni Mmarekani nao wanaweza kuwa wamarekani, nakumbuka mmoja tulimzika pale Kinondoni alupata ajali Brussels....sidhani kama ni mtu anaweza kuwa gavana DRC, he is way above that....i do believe he is still doing his shuttle professoring...

Mara ya Mwisho tuliongea nae Hapa Tanzania kwenye tamasha la vitabu mwaka 2010 pale Blue Pearl Hotel.Huwezi kuchoka kumsikiliza
Ameamua kutulia baada ya kuona nguvu zimepungua kutokana na umri mkubwa, hivi anaelekea 87yrs na ameamua kuestablish makazi nchini afrika ya kusini sehemu ya pritoria. Vijana wake sasa Tonny Wamba ndo wanaanza harakati za kisiasa.
Huyu mtu ninavyojua alikuwa mmoja wa watu walioleta na wanaoendelea kuleta fujo kongo DRC.lkn nashindwa kukuelewa unamhitaji wa nini ?