Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

[QUOTE=Kuntah Kinte;
Hata kibaka anapigwa mawe! bishia bro...
 
MEANDU
===>Umeitoa mtaa wa pili sio?sio mbaya,watu wapate maarifa ya kutosha.
 
Last edited by a moderator:

Mahakama Ikitenda haki upande wenu ni nzuri .....Sasa wiki iliyopita Majaji wakaambiwa wamehongwa ..wametumika na mafisadi na all odds ...Leo Majaji wazuri ...

Kweli Jaji Frederick Chacha Werema hakukosea ...hatujaona Vituko bado !!,
 
Tafuteni nini maana ya narcissism, narcissistic person, narcissitic personality disorder, halfu linganisha na tabia ya Zitto.

Zitto ni narcissistic person, basi!
 

chama hata nusu mwaka hakina kesi kibao mahakamani achilia mbali kupigana ngumi
 
Poleni kwenu ambao leo ndiyo mnamgundua Zitto. How comes wengine tulione hili miaka zaidi ya kumi iliyopita, halafu wengine muligundue zaodi ya miaka kumi baadaye???
Pathetic..!
 
Ningependa kujua ni gazeti gani lilolipoti hiyo habari, maana siamini kama Prof Baregu anaweza kutoa kauli shallow kiasi hicho, nilitegemea aseme nilimshauli ABC... na hakufata ushauli wangu, badala yake ameleta kauli za kishabiki (ana kiburi, anjiona, hamnazo) bila ya kutoa specifics za hayo madai.
 
Mwacheni kijana apewe nafasi nyingine akizingua tena basi tutajua hafai kuwa dira ya vijana.
 
Huyu mzee naye Onchocerca volvulus wamempanda kwenye ubongo,unafiki mbaya sana.

Mbona huwa hawatoi maoni juu ya viongozi waandamizi wa chama hata inapothibitika wamefanya madudu?

Au Baregu anaamini watu wazima hawajambi?

Mbowe alipojipachikia majina yake ya wabunge wa viti maalum,mbona hatukumsikia akisema chochote?

Hata kama mimi ndo ningekuwa Zitto ushauri wa wazee wa aina hii siuchukui hata kwa bakora.

Mungekuwa mnawakemea na hao jamaa tungejua kweli mnamaanisha.

BAREGU ACHA UTOTO you're too old for this bora ukae kimya.
 

Well quoted mwalimu. Unafatilia mambo kwa kina. Liked it!
 
Kuhusu kutoambilika ni sahihi, baregu yuko sahihi. Zitto anaamini yeye ana akili kuliko wanakigoma wote na hilo liko wazi.
 

Ama kweli nyani haoni kundule. Wewe Baregu ndo mzigo. Professor mzima utakubalije kutumiwa vibaya na kijana mcheza disco? Siyo tu mcheza disco bali pia kijana mwenye eimu ya kidato cha sita mwenye ufaulu wa sifuri? We ndo mzigo siyo zitto
 
Last edited by a moderator:
Siku mkilala usingizi kwa kuacha kufurukuta kuhusu zito wallah hamtaamka kwa uchovu!
 
Mwenye Enzi Mungu atujalie afya njema na pumzi tuweze kuishi na kushuhudia safari ya Zitto Kabwe huko ACT-Wazalendo ili hatimaye atuthibitishie alikotoka walikuwa wanamchelewesha.

Kwani ACT-wazalendo na ACT-Tanzania ni chama kimoja au tofauti?, nachanganyikiwa kidogo
 
Prof. Baregu amesahau neno moja 'mzito', hivyo angesema 'Zitto ni Mzigo Mzito'.
 
Wewe ni mzima? Unajua jinsi wabunge wa kuteuliwa kupitia CHADEMA walivyopatikana? Vigezo na maamuzi ya nani awe mbunge wa kuteuliwa viliandaliwa na Dr. Kitila, na mapendekezo yalipelekwa na Kitila Mkumbo kwa niaba ya kamati.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…