Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Yes, fukuzeni kila mwenye mawazo huru! Ili mubakiwe na wafanyabiashara za VIKOBA, SACCOS, Real Estate, Entertainment; Wasomi noma kwenye chama wanataka nondo zao zionekane zina maana.Hawa chadema ni kama familia ya kambale kila mtu ana ndevu,Kwanini na huyu tusimfukuze ili tubaki wenyewe tu.
mwekundu habari ????Baregu msimamo wake unajulikana ni wa kisomi
Hawa chadema ni kama familia ya kambale kila mtu ana ndevu,Kwanini na huyu tusimfukuze ili tubaki wenyewe tu.
Hii kauli akiisikia Mbowe na Dr.Slaa haiwezi kumletea matatizo?
Suala la ZZK lina mlengo wa kisomi zaidi. Ushabiki hapa sidhani kama una nguvu sana. Wote wanajua hayo. Na hiki najua Prof. amekisema ndani ya chama.Hii kauli akiisikia Mbowe na Dr.Slaa haiwezi kumletea matatizo?
Nasikiliza VOA. Prof. Baregu anasema kufukuzwa kwa ZZK ni kwa sababu ya kukaribia kwa uchaguzi ndani ya vyama na Uchaguzi Mkuu.
Anasema misuguano ndani ya vyama inawachanganya wanachama na usuluhishi ndani ya chama ni muhimu.
Anasema katiba imefuata lakini kuna mgogoro katika kuwafukuza wanachama.