Prof. Assad hajitambui au anatumika?

Mkuu wahenga walisema ukubwa ni jalala unapokuwa kiongozi tena wa siasa kutukanwa kukashifiwa ni lazima sasa kinachokufanya ukasirike na kutetemeka nini kama ulitaka huyo msukuma mwenzio asisemwe vibaya ungelimshaur aachane.Na siasa.Aende kuwa Baba Mchungaji huko
 
Kuna watu aina ya huyu anayejiita " hero" mpaka unajiuliza hivi huyu anatumia kiungo gani cha mwili kufikiria? Aisee still we've got along way to go, in short huyu ni walewale akina Kibajaji, when they stand to talk they just talk shit.Mpaka unajiuliza hivi huko jimboni kwake ndio the best, then what about his people?
 
Hili Jinga limetokea wapi umebanwa uharo nenda kahare gebwe wewe Unaweza kuandika analysis Yoyote kuhusu economic au unakuja kutupotezea bundles zetu wewe unaweza kumchallenge Prof. Assad ?
Mwehu kabisa Wewe tena na wanakutuma waambie warudi milembe wakanywe Dozi naona imewaishia
 
Nina uhakika hujawahi kufundishwa na prof. Wewe maishani kwako.
Huwezi kujua thaman na maana ya professor
Huwezi muelewa asemalo
 
Yani vitu umeandika vitu havieleweki! Hujajibu hoja za Prof Assad. Mfano alisema duniani hakuna nchi inayonunua ndege kwa cash.. nilitegemea wewe ungekuja hapa na ushahidi kuwa nchi fulani huwa inanunua kwa cash hivyo Prof Assad Ni muongo.. Yule sio size yako. Wewe endelea na mapambio na kuabudu mungu wenu marehemu... lakin Prof Assad yupo sahihi 💯
 
kunabinadamu ambaye hatumiki duniani hata wewe
 
Mbona watu humu ndani wanasema uchumi wa kati badala ya kusema uchumi wa chini kati?
Bado tupo chini. Tuna kazi ya kwenda chini juu kabla ya kuvuka hadi uchumi wa kati.
Na sio ajabu ni kati chini!
 
Kuna namna ambavyo hawa std 7 wapewe kikomo cha kuongea na kugombea mamlaka naona wanakuja kasi sana serikali isipokuwa makini itamezwa na pumba zao na kupewa wao kipaombele kwa sababu ya porojo wameandamana kuporomosha maprofesa ili watazamwe wao na wamehamia na huku JF hii ni mbaya kwa afya ya Nchi.
 
Prof Assad ni extremist ambaye anatumia zaidi hisia kuliko elimu na akili. watu wa aina yake ni hatari sana kwenye jamii kwasababu hawataki conpromise.
 
Prof. Assad kasema kuwa tunatengeneza nguvu nyingi kwa mtu 1,baada ya kutengeneza nguvu nyingi kwenye tasisi.mwisho wa siku mtu 1 anakuwa na nguvu kubwa kuliko tasisi.

Ukiangalia unaona kabisa alichongea kipo wazi.we mtu 1 anauwezo gani wa kutafuta mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,makatibu wakuu,mabalozi,wakuu wa nyombo vya usalama,wakuu wa halmashauri,wakuu wa mashirika ya umma pamoja na bodi zake.

Huyu anakuwa ni mtu au Nabii
 
Kuandika kwa mpangilio kwenyewe haujui😀😀😀😀😀

Ni kama mhanga hivi wa report😀😀

Maana sio kwa complaining hiyo.

Anyway acha dawa ifike mahali pake.
Tanzania ina vioja kweli ,utakuta mtu ni kiazi eti naye anamkosoa prof
 
Ungeweza ukaandika Homa yako bila kumtukuna MTU mzima na hoj yako ikakubalika!

Lakini hapa unapoona ili homa yako ikubalike ni lazima Umdhalilishe Prof unakosa uhalali wa kumchallunge prof kwa Madata, mkuu.
Punguza hasira.
Kama nimemtukana pahali flani, naomba mnisamehe na anisamehe! Ila ukweli inaudhi sana mtu mzima na unajiita 'profesa' kuwa na mawazo finyu kiasi hicho na kutumia uprofesa wako kujaribu kuhadaa watu! I see inaudhi sana! Sitaki ona nchi yangu inakuwa shamba la bibi kwa kufuata mawazo ya wasomi uchwara kama hawa i see, umesikia pia wasomi uchwara wengine wa tume ya corona wamekuja na maoni ya covid-19! Shame on them😡!
 
Hoja inapigwa kwa hoja ndugu.ebu chambua kifungu kimoja kimoja kuwa ni wapi Prof alipokosea
 
Prof Assad ni moja kati ya hazina ya taifa.ukiwa na watu 10 kama kina Assad basi nchi lazima iwe kama ulaya
kwa taarifa yako, Taifa halihitaji watu extremists, linahitaji watu wanaoweza kuwa compromised ili kuishi na watu wote wa tabia tofauti, bora kuongozwa na mjinga anayeelewana na watu wote bila ubaguzi kuliko kuongozwa na mwenye akili mmoja mbaguzi na mwenye misimamo mikali.walikosea hata kumpa kile cheo, alitakiwa abaki tu chuoni kufundisha wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…