Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

Madhara yakutumika! wanaokutumia wakishapata wanachota au wakiona hawajafanikiwa sana walichotaka...dalili zinakuwa kama hizi ulizoandika so ****** ajiandae warning bell imeshaanza kugonga mtaani huku wanasema anzisha tatizo kisha limalize upate political milege na watz wengi walivyo mabwege tutarajie maandamano kila mkoa kuunga mkono juhudi dam!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha wee aisee..kwaio mnamng'oa CAG ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo siri nzito iko wapi? Mnajipaka matope halafu mnatumia maji ya ukoko ukijisafisa na visa vyenu fake.

Mnaiharibu nchi nyie mabwege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani bunge siyo dhaifu? Bunge la wabunge wa ndiyo mzee,bunge lisiloweza kuisimamia serikali! Bunge linalopitisha miswada ya hovyohovyo kandamizi. We jamaa utakuwa si mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo sio mzima mnaongozwa na mahaba kuliko utaratibu..ni kweli bunge ni dhaifu ila kwa status ya CAG hakutakiwa kuongea hvyo publicly, labda kama angesema aliongea hvyo kama raia wa kawaida na sio CAG, na hiyo isingeleta maana kwa sababu alihojiwa kama CAG...

Tafsri ya kile alichokisema ni kuwa bunge linatakiwa lifanye kama yey anavyoona vyema likifanya tofaut basi bunge halifai, na bunge haliwez kufanya kazi kwa hofu ya mtu...weka ushabiki wa kisiasa pembeni uone huyo Assad alivyoharibu pakubwa kwa kuropoka kweny media...Tumia angalau robo ya ubongo wako kufkri
 
Naona uzalendo halisi unazidi kutoweka kwa Kasi ktk viongozi wetu, hivi kuambiwa ukweli imekua dhambi na kosa siku hizi?

CAG katoa hoja basi wajibu kwa hoja na si kupiga vijembe na tarabu ..hapo ndo udhaifu uliosemwa unapojidhiilisha hivi spika kuanza kujadili madeni ya Mbunge Ni uimara au udhaifu? Kuacha kufanya mijadala muhimu ndani ya bunge mnaanza kuleta ngonjera sitaki mbichi hizi,

Bunge Ni dhaifu

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
up
unasom darasa la ngapi, dada
 
Kwani ni uongo bunge si dhaifu tena dhaifu sana yaaan Hanna kitu kabisa tuache kutetea ujinga wa bunge ukweli unauma sana
 
hakujipelek TBC ndio walimtafuta ulitaka hawakatalie
 
Lakini nchi hii tangu aingie jamaa katiba imevunjwa mara ngapi? Je nini kilifanyika? huyu jamaa hashindw kukiuka katiba
 
ili uwe hakimu mzuri unahitaji kujua ukweli kutoka pande zote mbili(za mgogoro).Kwenye hili ni kamati ya bunge ndo imesema kuwa Assad ana kiburi ,dharau n.k!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la CAG ni kiburi na majigambo na kudharau wabunge kwa sababu yeye ni Prof
Naomba msaada Bosi wangu...swali langu lijibiwe please pamoja na kiburi cha Prof. Assad
 
ili uwe hakimu mzuri unahitaji kujua ukweli kutoka pande zote mbili(za mgogoro).Kwenye hili ni kamati ya bunge ndo imesema kuwa Assad ana kiburi ,dharau n.k!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamati haijasema kuwa jamaa anakibri lakini kitendo cha kusema ataendelea kuitumia ile kauli ya kuliita Bunge ni dhaifu ni mbaya sana.
 
CAG alisema hansad zake ziwekwe hadharani ili kila Mwenye akili timamu ajue amehojiwa nini na amejibu nini. Sasa kwa muktadha huo huwezi sema alirudia kauli iyo iyo. Kuna kitu tunafichwa na kamati hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…