Prof Assad ameonesha mfano kwa wasomi wetu

Prof Assad ameonesha mfano kwa wasomi wetu

Kuwa msomi haimaanishi wewe kuona wengine kazi zao ni dhaifu.Kilikuwa ni kitu kidogo tu cha kuomba radhi na kufafanua hilo neno lake la udhaifu wanavyolitumia kwenye kazi yao kama neno la kawaida.Vinginevyo alionyesha kuwa yeye ni anadharau na hata kuweka sifa mbaya kwa wasomi ni watu wenye dharau wakiwa makazini.Nchi haindeshwi kwa misifa na majivuno ya usomi bali ni kwa weledi na ustahimilivu na kufuata sheria basi.
Tatizo CAG sio mnafiki. Nyeupe ni nyeupe. Nyeusi ni nyeusi.
 
Tatizo la nchi hii ni pale akili ndogo inapotaka kuisimamia akili kubwa! Hivi Dungai na Assad nani anapaswa kujiuzulu? au nani anatakiwa kushauriwa na mwingine!
 
Back
Top Bottom