Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,828
So hizi figisu figisu za jiwe kwa mgongo wa spika zinalenga kufuta masalia ya Jeikei ?
Aliamsha ki vipi?hivi kama wewe unapaswa kufuatilia mapato na matumizi ya serikali halafu hufatulii ni udhaifu wa cag au spika???jibu tuu hapoKigwangala. Mkuchika, Makmba
Mwisho wa siku munamtuhumu tu Spika lakini CAG aliamsha ye mwenyewe huu mgogoro..!
Profesa Assad endelea KUBAKI MULE MULE, USIYUMBE WALA KUYUMBISHWA NA YEYOTE. WATANZANIA TUKO NYUMA YAKO!!!!Prof Musa Assad Juma , ametoa fundisho la kutosha kwa tasnia inayo jiita ya wasomi hapa nchini.
Mbali ya kuonyesha jicho na fikra za msomi zinavyo stahili kuwa, lakini pia ameonyesha jinsi wacha Mungu wanavyo stahili kuusimamia ukweli.
Kuna kipindi fulani waliitwa hao wanajiita wasomi kwenda kuzungumzia ni jinsi gani serikali yetu inavyo weza kujiendesha na kutuletea mafanikio, mbona ilikuwa ni aibu , badala ya kushauri wao wabaki kutoa sifa za uongo uongo tu, kwa ukweli walitia aibu ya kupindukia.
Ni wazi kuwa awamu hii imekuja na kamtindo fulani ka kukataa kuambiwa ukweli, lkn Assad jipe moyo na watanzania wameona utendaji wako.
Ni wazi kuwa yajayo yanaweza yasifarahishe sana , lakini baki kuwa shujaa kwa kuto mpigia magoti shetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakuwa JINGALAO huwezi kuelewa chochote. Na kama ukimtazama binadamu unaona NYUMBU, basi tatizo lako siyo UJINGA tu, bali MAGONJWA MTAMBUKASo far sijaona hoja yoyote ya CAG inayoelezea udhaifu wa bunge...huu sio usomi bali ni uropokaji ndio maana wanaoushangilia ni Nyumbu
Unastahili kufanyiwa tohara ya akili ndo ujitambue, bila ya hivyo utazidi kubaki gizani.Kuwa msomi haimaanishi wewe kuona wengine kazi zao ni dhaifu.Kilikuwa ni kitu kidogo tu cha kuomba radhi na kufafanua hilo neno lake la udhaifu wanavyolitumia kwenye kazi yao kama neno la kawaida.Vinginevyo alionyesha kuwa yeye ni anadharau na hata kuweka sifa mbaya kwa wasomi ni watu wenye dharau wakiwa makazini.Nchi haindeshwi kwa misifa na majivuno ya usomi bali ni kwa weledi na ustahimilivu na kufuata sheria basi.
Hujui usemalo! We unajua kwenye kamati aliulizwa nini na alijibu nini? Unajua alitoa maelezo gani kuhusu maana ya neno "dhaifu" kama linavyotumika kwenye tasnia ya ukaguzi?Kuwa msomi haimaanishi wewe kuona wengine kazi zao ni dhaifu.Kilikuwa ni kitu kidogo tu cha kuomba radhi na kufafanua hilo neno lake la udhaifu wanavyolitumia kwenye kazi yao kama neno la kawaida.Vinginevyo alionyesha kuwa yeye ni anadharau na hata kuweka sifa mbaya kwa wasomi ni watu wenye dharau wakiwa makazini.Nchi haindeshwi kwa misifa na majivuno ya usomi bali ni kwa weledi na ustahimilivu na kufuata sheria basi.
Ujasiri wa Mbwa kokoProfesa Assad endelea KUBAKI MULE MULE, USIYUMBE WALA KUYUMBISHWA NA YEYOTE. WATANZANIA TUKO NYUMA YAKO!!!!
So far sijaona hoja yoyote ya CAG inayoelezea udhaifu wa bunge...huu sio usomi bali ni uropokaji ndio maana wanaoushangilia ni Nyumbu
Hao hawana ushawishiBado wapo, waziri Mwinyi, Makamba, Mbalawa, yupo Makonda, Hapi nk!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna hizo hoja au taarifa zenye kuonesha udhaifu wa Bunge kwa mujibu wa Assad ziweke hapa ...mimi sina ujasiri wa mbwa hata siku mojaUkishakuwa JINGALAO huwezi kuelewa chochote. Na kama ukimtazama binadamu unaona NYUMBU, basi tatizo lako siyo UJINGA tu, bali MAGONJWA MTAMBUKA
Ujasiri wa Mbwa koko
Wewe unafaa kwa kukeketwa akili kabisa
Maskini hata kupanga mawazo kimantiki hujui. Unakurupukia conclusion isiyo na isiyo logical....pole jamaa
Ongeza Dkt Albina Chuwa - Mkurugenzi Mkuu wa NBS TaifaBado wapo, waziri Mwinyi, Makamba, Mbalawa, yupo Makonda, Hapi nk!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi utakapofanyiwa huo usafi huwenda utajielewa , hata utoke povu kiasi gani ukweli ndo huo, hovyo.Wewe unafaa kwa kukeketwa akili kabisa
tangu lini jinga lao akaweza kupambanua mamboSo far sijaona hoja yoyote ya CAG inayoelezea udhaifu wa bunge...huu sio usomi bali ni uropokaji ndio maana wanaoushangilia ni Nyumbu