Prof Assad ameonesha mfano kwa wasomi wetu

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Prof Musa Assad Juma , ametoa fundisho la kutosha kwa tasnia inayo jiita ya wasomi hapa nchini.

Mbali ya kuonyesha jicho na fikra za msomi zinavyo stahili kuwa, lakini pia ameonyesha jinsi wacha Mungu wanavyo stahili kuusimamia ukweli.

Kuna kipindi fulani waliitwa hao wanajiita wasomi kwenda kuzungumzia ni jinsi gani serikali yetu inavyo weza kujiendesha na kutuletea mafanikio, mbona ilikuwa ni aibu , badala ya kushauri wao wabaki kutoa sifa za uongo uongo tu, kwa ukweli walitia aibu ya kupindukia.

Ni wazi kuwa awamu hii imekuja na kamtindo fulani ka kukataa kuambiwa ukweli, lkn Assad jipe moyo na watanzania wameona utendaji wako.

Ni wazi kuwa yajayo yanaweza yasifarahishe sana , lakini baki kuwa shujaa kwa kuto mpigia magoti shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG Jembe Achana na wazalendo uchwara, wahuni tu.
 
Kuwa msomi haimaanishi wewe kuona wengine kazi zao ni dhaifu.Kilikuwa ni kitu kidogo tu cha kuomba radhi na kufafanua hilo neno lake la udhaifu wanavyolitumia kwenye kazi yao kama neno la kawaida.Vinginevyo alionyesha kuwa yeye ni anadharau na hata kuweka sifa mbaya kwa wasomi ni watu wenye dharau wakiwa makazini.Nchi haindeshwi kwa misifa na majivuno ya usomi bali ni kwa weledi na ustahimilivu na kufuata sheria basi.
 
Wanabodi tangu mwaka 2015 mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi yamefanyika hasa katika taasisi nyeti za Kibunge, kimahakama, kiusalama, nishati,na mashirika ya umma.

Naweza kusema MTU pekee ambaye amesalia ni Professa Mussa Juma Assad ambaye mchakato wake kumbadilisha ni tata, sio rahisi.

Job Ndugai binafsi namuona kama kete iliyochezwa ili kutimiza azma ya Kumuondoa. Zipo njia Tatu mahususi za kuweza kumuondoa Assad.

1. Kulitumia bunge kuweza kumtikisa pamoja na mambo mengine Rais apate fursa ya kuanzisha mchakato Wa kumuondoa ambao pia sio rahisi.

2. Kutumia njia ya vitisho ili atatereke na kuamua kujiuzulu. Hapa vyombo vya dola vinaweza kutumika nk.

3. Kumnyima ushirikiano hasa katika eneo la Fedha, anaweza kujinyimwa fedha za kuendeshea ofisi yake jambo ambalo litafanya ashindwe kutimiza wajibu wake ipasavyo.

Jambo la Hekma zaidi ni Kumuacha Process Assad akamilishe muda wake. Mwezi Oct 2021 anastaafu rasmi kwa mujibu Wa utaratibu Wa kiutumishi lakini kuendelea kumuandama ni kumtengeneza kuwa shujaa Wa Utawala ujao kama alivyofanywa Prof. Ndalichako enzi za Utawala Wa Kikwete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naona Prof. abakie mpaka muda wake ufike. Wenyewe wasijichanganye wanaweza wakachanganyikiwa. Kwa hili la CAG waachane nalo. Nakumbuka Kinjeketile alisema "mtu huzaa neno, lile neno likakua likamshinda aliyelizaa".
 
Kuwa msomi haimaanishi wewe kuona wengine kazi zao ni dhaifu.Kilikuwa ni kitu kidogo tu cha kuomba radhi na kufafanua hilo neno lake la udhaifu wanavyolitumia kwenye kazi yao kama neno la kawaida.Vinginevyo alionyesha kuwa yeye ni anadharau na hata kuweka sifa mbaya kwa wasomi ni watu wenye dharau wakiwa makazini.Nchi haindeshwi kwa misifa na majivuno ya usomi bali ni kwa weledi na ustahimilivu na kufuata sheria basi.
Ungekaa kimya ungeonekana wa busara sana.

Jitahidi kuficha ujinga wako ndugu
 
Kigwangala. Mkuchika, Makmba
Mwisho wa siku munamtuhumu tu Spika lakini CAG aliamsha ye mwenyewe huu mgogoro..!
 
Hilo la ofisi ya CAG kupunguziwa fedha lilifanywa mapema sana awamu hii ilipoingia madarakani. Na hilo lilifanyika kwa makusudi mazima kwani mkuki alikuwa anajua tabia na misimamo ya huyu CAG. ukweli ni kuwa mkulu wetu sio mtu anayependa kufuata utaratibu hasa utaratibu huo ukiwa unamzuia yeye kufanya atakacho. Hiki kinachoendelea sasa kina mkono wa mkulu kwani huyo CAG ni mwiba kwake.
 
Kuwa msomi haimaanishi wewe kuona wengine kazi zao ni dhaifu.Kilikuwa ni kitu kidogo tu cha kuomba radhi na kufafanua hilo neno lake la udhaifu wanavyolitumia kwenye kazi yao kama neno la kawaida.Vinginevyo alionyesha kuwa yeye ni anadharau na hata kuweka sifa mbaya kwa wasomi ni watu wenye dharau wakiwa makazini.Nchi haindeshwi kwa misifa na majivuno ya usomi bali ni kwa weledi na ustahimilivu na kufuata sheria basi.
Jinga lingine hili....ni wapi alisema wengine dhaif?Bila shaka utakua mrs speaker vingnevy huwez kutetea upumbavu
 
... Prof. Mussa Assad ni chapa halisi ya binadamu yeyote anayeitwa msomi wa angalau shahada ya uzamivu (PhD). Prof. Assad, ameuona na kuutamka ukweli kama ulivyo pasi na unafiki wowote; so amejipambanua kuwa tofauti na wachungaji, maaskofu, na mashekhe wetu ambao unafiki hauwaishi vinywani.
 
Wanabodi tangu mwaka 2015 mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi yamefanyika hasa katika taasisi nyeti za Kibunge, kimahakama, kiusalama, nishati,na mashirika ya umma.

Naweza kusema MTU pekee ambaye amesalia ni Professa Mussa Juma Assad ambaye mchakato wake kumbadilisha ni tata, sio rahisi.

Job Ndugai binafsi namuona kama kete iliyochezwa ili kutimiza azma ya Kumuondoa. Zipo njia Tatu mahususi za kuweza kumuondoa Assad.

1. Kulitumia bunge kuweza kumtikisa pamoja na mambo mengine Rais apate fursa ya kuanzisha mchakato Wa kumuondoa ambao pia sio rahisi.

2. Kutumia njia ya vitisho ili atatereke na kuamua kujiuzulu. Hapa vyombo vya dola vinaweza kutumika nk.

3. Kumnyima ushirikiano hasa katika eneo la Fedha, anaweza kujinyimwa fedha za kuendeshea ofisi yake jambo ambalo litafanya ashindwe kutimiza wajibu wake ipasavyo.

Jambo la Hekma zaidi ni Kumuacha Process Assad akamilishe muda wake. Mwezi Oct 2021 anastaafu rasmi kwa mujibu Wa utaratibu Wa kiutumishi lakini kuendelea kumuandama ni kumtengeneza kuwa shujaa Wa Utawala ujao kama alivyofanywa Prof. Ndalichako enzi za Utawala Wa Kikwete

Sent using Jamii Forums mobile app

ramli chonganishi
 
So far sijaona hoja yoyote ya CAG inayoelezea udhaifu wa bunge...huu sio usomi bali ni uropokaji ndio maana wanaoushangilia ni Nyumbu
 
Yeye anatengeneza Chato & lake zone empire

Halafu udini hapo anataka mkiristo ndio awe CAG

Tutaona mengi sana kipindi iki
 
Back
Top Bottom