Prof. Adolf Nkenda: Maendeleo vigezo Kipato, Elimu na Afya

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,331
24,240
December 18, 2019

Prof. Adolf Mkenda anaelezea vigezo vya maendeleo ya binadamu .
NI NGUMU KUJENGA DEMOKRASIA KAMA KUNA TOFAUTI YA KIUCHUMI rof Aldof Mkenda Kichambua taarifa ya maendeleo.

Kipato:
Prof Aldof Mkenda amesema tofauti ya kipato katika demokrasia inasababisha kupoteza haki ya kuchangua kwa sababu wenye kipato wataendelea kushinda uchaguzi kwani mwenye shilingi nyingi ana 'kura' nyingi.

Prof. Adolf Mkenda anasisitiza nchi inapowekeza ktk elimu, afya, miundo-mbinu isikazanie kuwekeza ukanda mmoja kwa sababu fulani fulani bali serikali ifanye uchambuzi yakinifu ili sehemu zingine zisibaki nyuma.


Source: Global TV online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…