Product names nyingine....Duuuh!!!!

Mavi - Soma MAWI ni rangi ya BLUE/Bluu kwa Kituruki........ Msiulize nani kanifundisha.

1020.jpg

Oky.. Its possible coz naona wadada wamevaa vile vidani vya bahati vya kituruki
 
Siyo tu kuwa ni POSSIBLE ila ndiyo ukweli wenyewe. Hivyo vidani vya Good lucky ni kweli wao wanaviamini sana na huwezi kuamini hata kwenye majengo kama Hotel za kitalii, unakuta bado wanaziweka. Mwenyewe kidani nnacho kimoja teteteteeeee :)
Oky.. Its possible coz naona wadada wamevaa vile vidani vya bahati vya kituruki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom