Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

Huyu jamaa alikuwa na mawe makali mengi sijui bado yupo ama?

Ngoma zake zilkuwa zimekaa kwenye mzani mzuri huyu ndo mtaalam wa zouk mwenyewe
Oliver ngoma, alishafariki mgabon huyu. Nakumbuka ilikuwa 2010, alikuwa na shida ya figo. Kwa upande wangu, huyu na monique seka ndio waliokuwa vinara wa zouk afrika.
 
Oliver ngoma, alishafariki mgabon huyu. Nakumbuka ilikuwa 2010, alikuwa na shida ya figo. Kwa upande wangu, huyu na monique seka ndio waliokuwa vinara wa zouk afrika.
Speaking of zouk, hivi Mr paul yuko wapi huyu fundi wa zouk bongo. Kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa akiitwa ismail alikuwaga in africa band nao longtime kimya.
 
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya

Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha maskioni nini siri kubwa hasa waliyotumia?

Yaani unajikuta tu nyimbo huchoki kuiskiliza Nyimbo kama ya mwanamama tshala muana "Mario" unachokaje kwa mfano? Sound safi ,vyombo vimepangiliwa vizuri .
Utachagua ipi? Bado sana ya kina nyange? Aah wapi?

Hizi ni baadhi ya nyimbo za zamani zitakazokupa usikivu mzuri kwenye maskio yako.

1: Franco - Mario
2; Monique Seka - Okaman
3: Tshala Muana - Mario
4: Madilu System- Yajaa
5; Madilu System -si je sa vais

6: Tabu Ley - Ibeba
7: Mbilia Beli - Nairobi
8: Madilu System - Sansa ya papi
9: Nyimbo zote za Franco
10: Oliver Ngoma - Icole
11: oliver ngoma - Lusa, Alphonsie
12: Kanda Bongoman - Muchana
13: Bozi Boziana - Pitie

Hizo kwangu Mimi wamepatia sana waliorekodi na kupiga vyombo
Walifanya vipi ikiwa maproducer wa sasa wana equipment nzuri na wanatengeza muziki big g?

Ongezea zako.
Madilu .....Yajaaa bonge la song
Franco......Mamou aiseee
Mkuu umenikumbusha mbali Sana aisee
 
Tunaongeza list.
prudence ya reddy amis (huyu alikuwa mwimbaji kwenye band ya viva la musica ya papa wemba. Na koffi ndiye aliyemrecommend kwa wemba. Kumbuka koffi alikuwa songwritter wa viva la musica.,
2. Orthathanisi ya celeo scram akim'feat' fally
3. Usiku usiingie wa mr zumo.
4. Nimekusamehe wa hamza kalala.
5. Mbabula ya koffi.
6. Masuwa ya mpiana.
7. Coco channel ya jimmy manzaka.
8. Papa confianc ya boziana
 
Usione kwa kuw ww ni mtu wa 1980's ukatak na sis wa mitano tena tupewe uchafu wenu wa zamani..

MBWEHA WEWE
Ameongelea ubora wa sauti za vyombo(beat) katika wimbo, siyo aina za nyimbo. Umemuelewa vibaya. Kama pepa hapo unaondoka na buyu. Ametaja hizo nyimbo za zamani kama mifano tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom