Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

Kabisa mkuu hizi nyimbo niko na DJ mix moja sema kule wameunganisha vipande vipande nikashindwa kung'amua ni nani hasa ameimba baadhi ya nyimbo mule kwenye Dj mix nashukuru kuna nyimbo nimezipata naomba sana kama una playlist unisaidie nizishushe nyimbo nzuri sana hizi...

Panchito naomba uweke list nyingine tafadhali..
Usihofu mkuu tunashusha nyingine muda sio mrefu Kuna sehemu nimekuta wameweka album yake Oliver ya adia imetoka 95 yote kabisaa
 
Nadhani shida moja wapo ni mabadiliko ya nyakati. Kwa zama hizo (japo sikuwepo) ilikuwa ni ngumu kufanya muziki kwa kuwa studio zilikuwa chache hao wenye studio walikuwa ni watu wanaoelewa muziki na kuamua kuwekeza pesa na ujuzi kutengeneza mziki mzuri. Wimbo mmoja unapita kwenye mikono ya watu kibao hivyo lazima kila mtu ataweka ufundi wake na kufanya wimbo uwe mzuri.

Zama hizi kutengeneza mziki imekuwa cheap sana. Ukiwa na laptop yako unakamata Digital Audio Workstation unayoitaka then unaanza unaingia youtube unapitia tutorials na wewe unaanza kuchora chord progression za kubahatisha kwenye piano roll basi na wewe unaanza kujiita producer. Ukipata wsanii wawili watatu ukafanya nao ngoma zikaenda ndo inakuwa imeisha hiyo.
 
Gatho bevens - azalaki awa
Oliver ngoma - muetse
Sweet Africa meddley vocal
Marijani rajabu -mwanameka
Marijani rajabu - mayasa
Dr remmy - mariamu
Pasada -amar
Awilo longomba -carolina
Kanda bongo man -wallow
Tshala muana- dezo dezo
Bozi boziana -jeu muke
Diblo dibala -matchatcha
Extra musica -Etamajo
Franco - lisanga ya banganga
Kanda bongoman -isambe
Kofi olomide -loi
Oliver ngoma- Lina
Madilu system -nzele
Madilu system- virce versa
Marijani- dunia uwanja wa fujo
Mbilia bel -nadina,napika,wendenda,beyanga
Nyboma- Nina
Nyboma- amour pendu
Oliver ngoma icole
Sam mangwana -transberos

Cc Prisonerx ,Azarel ,joseph1989
Kichwa Kichafu ,Mbwa dume na wengine wote
 
Nadhani shida moja wapo ni mabadiliko ya nyakati. Kwa zama hizo (japo sikuwepo) ilikuwa ni ngumu kufanya muziki kwa kuwa studio zilikuwa chache hao wenye studio walikuwa ni watu wanaoelewa muziki na kuamua kuwekeza pesa na ujuzi kutengeneza mziki mzuri. Wimbo mmoja unapita kwenye mikono ya watu kibao hivyo lazima kila mtu ataweka ufundi wake na kufanya wimbo uwe mzuri.

Zama hizi kutengeneza mziki imekuwa cheap sana. Ukiwa na laptop yako unakamata Digital Audio Workstation unayoitaka then unaanza unaingia youtube unapitia tutorials na wewe unaanza kuchora chord progression za kubahatisha kwenye piano roll basi na wewe unaanza kujiita producer. Ukipata wsanii wawili watatu ukafanya nao ngoma zikaenda ndo inakuwa imeisha hiyo.
Hahaha wamefanya muziki umekuwa rahisi lakini unaboa haraka
 
Wakuu Kuna wimbo unanipiga Sana chenga nautafutaga Sana Kuna sehemu wanaimba hivi
"Mapenzi ya simu ,sitaweza na Kama hunipendi ni bora uniambie nijue"

Sauti naskia Kama ya Kanda bongo man au tshala muana

Ni wimbo wa nani huo?
 
hii mkuu ni ya mwamba Samba Mapangala kibao kinakwenda kwa jina ''Marina''
 
Aisee nilikuwa nau-underestimate muziki wa zilipendwa +kikazi kipya wa Congo lakini aisee nimekubali..muziki umepikwa ukapikika..vyombo vimepangwa..Namsikiliza mwanamama Mbilia Bel,sauti tamu kabisa.

Huu muziki wetu wa kibongo hauna ladha kabisa..una cheap production ile mbaya na ukiusikiliza kwenye chombo bora unakuwa flat kabisa..ni ngoma chache sana za kikazi hiki zenye production nzuri..Mfano,Nandy ft Sauti Sol
 
Je bado Sana ya uko usafini?😂😂
 
Sasa nyinyi mnajua muziki mnasubiri nini kufanya production tusikie? Naona utaalamu wenu unaishia JF tu, inakuwaje?
 
Muziki ni kwa ajili ya mashabiki, na mpaka sasa hao uliotaja wameweza kukidhi kiu ya mashabiki zao pamoja na kujiingizia kipato kizuri tuu, cjui unachotaka haswa ni nini????
mi nahitaji kusikiliza mziki mzuri tuu tena ulio katika mpangilio wa vyombo vinavyosikika vizuri na kwa ubunifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom