LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
Hiyo allergy kaipatia ukubwani!!!aliyewahi kuseama kuwa ana alergy na hali ya hewa ya Tanzania ameoa mtoto wa rais mwinyi.
Ndo yupi kati ya hao 4??
Natafuta picha za harusi sizipati lakini habari ni kuwa huyu prodyusa wa mziki ambaye aliyewahi kuseama kuwa ana alergy na hali ya hewa ya Tanzania ameoa mtoto wa rais mwinyi.
Habari zilizokuwa posted kwenye blog ya dada wa Marekani zinasema alioa mjukuu lakini ukweli ni kuwa ameoa mtoto wa Rais mstaafu
John mahundi ni mtoto wa aliyekuwa mkuu wa polisi Mahundi
Hongera John
Hahhahqhqhaaa euuhwwwInamana hata picha ya Mwinyi tu umeshindwa kuiweka bas?!
mwenye TSHIRT nyeupeNdo yupi kati ya hao 4??
Kwa hiyo John Mahundi amesilimishwa kabla ya kukabidhiwa jiko?
fafanua mkuuYupo kwenye mikono salama, hongera zake!
Inawezekana ni Majina tu lakin ni Muislam
Kama kweli ni Mtoto wa X IGP Haroun Mahundi Basi baba yake alikuwa Muslim japo sina uhakika wa dini
Mie ninachowaza kwa Umri wa Mzee Mwinyi wa Miaka zaid ya 90 Ina maana bado alikuwa na Mtoto wa kuolewa na huyo Kijana
Kama Mpaka Umri wa Miaka 60 Mzee alikuwa anapiga Mashine maana yake Mtoto wake wa Mwisho atakuwa above 30!
Kweli kuchoka kwa bodi sio laZima iwe inamaanisha na engine imechoka
wale waislam wapemba hawawezi kukubali upewe mtoto wao bila kukubali kumuabudu allahKwa hiyo John Mahundi amesilimishwa kabla ya kukabidhiwa jiko?
John ni mtoto wa Mahundi, hilo halina shaka...!Inawezekana ni Majina tu lakin ni Muislam