Producer John Mahundi aoa mtoto wa Rais Mwinyi

Aaron Mahundi ex IGP alikuwa muislam toka lini? Mbona kwenye blog ya mange wamesema John ilibidi alisilim ndio apewe mke?

Huyu brazameni kama sijakosea alikuwa ni producer wa akina Gangwe Mob na Kwanza Unit ya akina Nigga One (adili na mwamba) kama sijakosea
Kwa hiyo 'Da Mange' ndio reference Siku hizi?
Kuna Siku Mange atakwambua Mama yako alikuwa Mwanaume na utaamini!

Kwanza haitwi Aaron ni Haroun
 
John ni mtoto wa Mahundi, hilo halina shaka...!

Kuhusu Mzee Mwinyi... anyway, sie wengine enzi zile tulikuwa bado wadogo lakini kama mwenzangu ulishakuwa mtu mzima kidogo basi nadhani utakumbuka suala la Mheshimiwa Mwinyi kuoa dogo dogo wakati yupo Ikulu, unless kama walimzulia!!

Nakumbuka, ilisemekana dogo dogo mwenyewe alikuwa ni binti wa Marehemu Kitwana Kondo!

Sasa kama ni kweli, kwa ndoa kama hiyo haishangazi kutoa binti rika la John kwa sababu, John sio mdogo kihivyo... he's at late 30's.

Nijuavyo Mheshimiwa Mwinyi ana wake wawili mama Sitti na Khadija.

sasa yupi kati ya hao ni mtoto wa Kitwana Kondo?
 
Nijuavyo Mheshimiwa Mwinyi ana wake wawili mama Sitti na Khadija.

sasa yupi kati ya hao ni mtoto wa Kitwana Kondo?
Ndo maana nilitaka watu wazima wathibitishe lakini si miongoni mwa hao! Ilisemekana alikuwa bado dogo dogo... sasa cjui kwavile wakati ule siasa za vyama zilishaanza kuingia wakaamua kumzulia mzee wetu, au vipi!
 
Inawezekana ni Majina tu lakin ni Muislam

Kama kweli ni Mtoto wa X IGP Haroun Mahundi Basi baba yake alikuwa Muslim japo sina uhakika wa dini

Mie ninachowaza kwa Umri wa Mzee Mwinyi wa Miaka zaid ya 90 Ina maana bado alikuwa na Mtoto wa kuolewa na huyo Kijana

Kama Mpaka Umri wa Miaka 60 Mzee alikuwa anapiga Mashine maana yake Mtoto wake wa Mwisho atakuwa above 30!
Kweli kuchoka kwa bodi sio laZima iwe inamaanisha na engine imechoka
Nani alikwambia age ya 60 hawezi kupiga mashine ?? Age hii anapiga machine sawa kabisa na age ya 20.Naona una upungufu wa biological knowledge. Age ya 80 mtu anapiga mashine kama kawaida.
 
IMG_1408-600x400.jpg

Natafuta picha za harusi sizipati lakini habari ni kuwa huyu prodyusa wa mziki ambaye aliyewahi kuseama kuwa ana alergy na hali ya hewa ya Tanzania ameoa mtoto wa rais mwinyi.

Habari zilizokuwa posted kwenye blog ya dada wa Marekani zinasema alioa mjukuu lakini ukweli ni kuwa ameoa mtoto wa Rais mstaafu

John mahundi ni mtoto wa aliyekuwa mkuu wa polisi Mahundi

Hongera John
Mwanamke ni mwanamke tu ata awe mtoto wa nani/awe nani. Wameumbwa kuolewa so acha akapigwe muhogo wa jang'ombe
 
Inawezekana ni Majina tu lakin ni Muislam

Kama kweli ni Mtoto wa X IGP Haroun Mahundi Basi baba yake alikuwa Muslim japo sina uhakika wa dini

Mie ninachowaza kwa Umri wa Mzee Mwinyi wa Miaka zaid ya 90 Ina maana bado alikuwa na Mtoto wa kuolewa na huyo Kijana

Kama Mpaka Umri wa Miaka 60 Mzee alikuwa anapiga Mashine maana yake Mtoto wake wa Mwisho atakuwa above 30!
Kweli kuchoka kwa bodi sio laZima iwe inamaanisha na engine imechoka
Wakubwa wanatumia dawa special and very expensive. Wewe na mie size yetu super shaft
 
Back
Top Bottom