tibmanzenjj
Member
- Feb 26, 2014
- 18
- 4
Vp hali zenu wana jukwaa . Nimemaliza diploma katika fani ya manunuzi , ila kwa upande wa degree nimeona niombe uhasibu . Kwani naona ni vyema kua na vyeti viwili vya fani tofauti ,kwani hapo baadae nitakuja kutumia vyote viwili . Je maamuzi haya ni sahihi na yenye tija?