Process za kupata passport

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
705
salam wadau,naomba nielekezwe process za kupitia ili nipate passport.So far nipo mbinga,lengo ni kwenda kusoma abroad.
 
kwa tanzania ukila la laki moja unaipata baada ya siku tatu..watafute mission town ila sikushauri ..lakini ndio ukweli
 
kwa kufata process utahangaika sana. utaenda kuapa kwa mwanasheria, utapeleka barua ya mwajili, cheti cha kuzaliwa, barua ya balozi, alfu 50 ada, kama unaenda kusoma barua ya shule, passport size nne, unaenda kuapa mahakamani, mwishonimwishoni ndo unapelekwa fingerprint. baada ya hapo ndo utasubilia kama wiki tatu hivi. utaenda pale unasign unapewa pass yako. kama una hela ya bia nipm nikupe maelekezo vizuri la sivyo viatu vitaisha kwa safari za posta to kurasini kama upo dar.mbinga utabidi uje dar kwanza.
 
Nnachokipendea JF,people are very supportive but otherz r very funny. That y when I feel bored I just log in!
 
Msikilize mshkaji yaliyo mkuta kwa kutaka passport.

 
Last edited by a moderator:
Kama unataka kupata hati ya kusafiria kwa ajili ya kwenda kusoma,unapaswa uwe na vitu vifuatavyo:
1. Cheti chako cha kuzaliwa,
2. Cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi wako au affidavit,ambayo utengenezwa kwa wakili au hakimu,na kuilipia kati ya Tsh. 3000 hadi 5000,
3. Barua ya kupata admission ya huko unakoenda kusoma. Yaani barua ya mwaliko wa shule,
4. Vyeti vyako vya shule.

Pamoja na hayo,tafadhali fika kwenye ofisi ya uhamiaji iliyo karibu nawe ili uweze kupata maelezo zaidi. Andaa Tsh. 50,000 za malipo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom