Pro CHADEMA acheni kumdhihaki Kikwete

...kumbe ndio maana mtanzania anaishi miaka 50 na mjapani miaka 100!
 
Siasa za kijinga sana mtu anaumwa badala kutoa pole mnamdhihaki mh raisi. Pamoja hukubaliani nae ila wakati wamatatizo tunapaswa kuwa wamoja. Cheki msiba wa sataa wote wapinzani chama tawala walionyesha mshikamano.
 
No, hatumdhihaki ila tunawadhihaki washauri wake.

It is ridiculous hawa viongozi wanajua kabisa huduma za jamii zilivyo mbovu lakini always kisingizio chao ni washauri wabaya. Ni sawa na mimi niwe rais leo halafu nijifanye sijui huduma hizi zilivyo duni. It doesn't make sense.
 
Kwani hajawapa gesi wachina....??? kwani haugui Busha.....hivi kusema au kufikisha ujumbe wa ukweli ni dhihaka...???
 
kwahiyo kuwa na Dr. mpasua "shabu" ndo kumdhihaki mkulu wa Kaya?
 
Last edited by a moderator:
Ni bora rais wa Uruguay ndo angeongoza hii nchi.
 
Yaani wewe ndiwe unayedhihaki halafu unasingizia wengine. Wewe jamaa bure kabisa
 
Picha kama hizi zinatakiwa kuwekwa katika kila kona ya nchi wananchi wajue nani mchawi wao.
 
Siasa za kijinga sana mtu anaumwa badala kutoa pole mnamdhihaki mh raisi. Pamoja hukubaliani nae ila wakati wamatatizo tunapaswa kuwa wamoja. Cheki msiba wa sataa wote wapinzani chama tawala walionyesha mshikamano.

Angekuwa na uchungu na wanachi wake,angetibiwa MUHIMBILI ili aone ni namna gani wananchi wake aliosema MAISHA BORA kwa kila Mtanzania yamemfikia kila Mtanzania.

Jamaa yangu akiwa hospitali sidhani kama kuna tofauti na yeye akiwa hospitali,tofauti yao au yetu yeye ameenda kutibiwa UGHAIBUNI siye wengine tunasubiriwa KUFA pale Muhimbili kwa kukosa dawa.
 
Picha ya kwanza si dhihaki. Ni ukweli.

Ya pili ni banter. Get a life.

Let freedom of speech reign.

Noblesse Oblige.
 
Duuh Maelezo hayajitoshelezi..

Hizo picha umezitoa kwenye mtandao wa CDM ?
 
Sasa hapo kadhihakiwa nini kwa uongo mwananyamala wakinamama hawalali 2?Pia kwani ni uongo rais hajalazwa hotelini hollywood sorry hospitalini USA.?
 
Chadema akili yenu inawatosha wenyewe tu kama mnaweza kuvua nguo mbele za watu sishangai mkifanya haya mnayofanya hapa kamanda wa chadema alikuwa anafanya nini?
View attachment 201179
 
Yaani jk kaumwa kipindi kibaya sana hadi namuonea huruma..
_Hakuna dawa kwenye hospital na kisa ni deni la msd lilosababishwa na serekali yake alafu yeye kaumwa kaenda kutibiwa usa...
_Ni kama home kwako unajua kabisa hakuna chakula alafu unawatumia watoto picha ukiwa unakula serena hotel amabo bei ya msosi pale inatosha chakula cha mwezi kwako
_si dhihaka hii???
 
Kwani hajawapa gesi wachina....??? kwani haugui Busha.....hivi kusema au kufikisha ujumbe wa ukweli ni dhihaka...???
Nabisha haugui Busha ni TEZI DUME (Prostate) Benign Prostate Hypertrophy (BPH) ugonjwa unaowapata wanaume wazee wachapaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…