advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Guys,
Mimi Nina Mdogo Wangu, Amemaliza Kidato Cha Matokeo Yake Siyo Mazuri Sana, Hatapata Nafasi Ya Kuchaguliwa Shule Ya Serikaki,
Kutokana Na Hali Ya Kifamalia, Namtafutia Shule Binafsi Ya Kidato Cha Tano, Kwa Mkoa Wa Dsm
Yenye
Ada Nafuu- Mwisho 1ml
Hostel
Iwe Mjini
Ntafurahi Sana Nikipata Na Contants Zao
N.B Hata Kama Zinamilikiwa Na CCM
Ahsant