Prisons break ntaipate kwa njia ya simu

Prisons break ntaipate kwa njia ya simu

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Posts
1,614
Reaction score
2,732
Wakuu hapa nilipo sina tv simu yangu ndio kila kitu saiv nipo mbali kidogo na mjini so naweza ipata vp hii series pendwa kwangu ya kuitwa presons break? YouTube naikuta vipande tu
Na kuna cku niliingia app ya azam tv nilikuta ila nikashindwa kujua ratiba yake mpaka leo kila nikiingia siikuti
Mwenye kuweza kunitumia whatsapp full kabisa iwe kiswahili tuwasiliane aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom