Prison Break vs Money Heist

Money Heist season 1 ni Kiboko, season zilizofuata zote zilitembelea utamu wa ya kwanza....Pedro Alonso A.K.A Berlin kifo chake kilinifanya nipoteze appetite ya Money Heist...Prison Break ilikua ni Moto mpaka walipotoa uchafu wa mwisho wa kuizika mahala pema
 
Hujaitendea haki PB kuilinganisha na Money Heist. PB ni balaa jingine.

So far my best series:
1. Prison Break (nimeirudia zaidi ya 10 times)
2. Lost (nimeirudia zaidi ya 6 times,currently nairudia nipo season 4)
3. Revolution (niliumia sana haikuisha)
4. Person of Interest
5. Grim
Daaaah....HAKUNA KAMA LOST. HUWA SIISAHAU.
 
General nilimpenda kwa mipango yake na order zake... So what are you waiting for!
 
Ninazo nyingi lakini pia huwa nazifuta. Kwa uchache nilizonazo ni;
Hostage
Ingobernable
Money heist
Suburra
The last ship
American odyssey
Ballers
Agent x us
Tyrant
Homeland
Power
Monkeys
Being mary jane
If loving you is wrong
Bates motel
Beauty and the beast na nyingine kadhaa.

Nipe list yako.

Naomba nifanyie connection basi nipate hizi Series mkuu!

Six na Homeland
 
Michael scofield sio shoga ila anasapoti haki za mashoga watu waelewe hilo, hakuna zaidi ya PB OVER
 
Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosema

Ipi series nzuri hapo juu kuanzia uhusika mpaka series yenyewe ipi ni nzuri hasa zaidi tukiwazungumzia wahusika wakuu PRISON BREAK unamkuta Michael Scorfield na huku katika Money Heist unamkuta Sergio Marquina au Profesa

Japo kila mtu alikuwa na mission tofauti mmoja alikuwa anataka kutoroka katika magereza yenye ulinzi mkali kwa Prison Break na wa Money Heist alikuwa anacheza na askari kibao ili aweze kubaki mule ndani ili aweze kuendelea kutengeneza na afanikiwe kuwakimbia

Prison Break kuna kina Mahone,T~Bag,Sara na wengine.

Money Heist kuna kina Berlin,Moscow,Tokyo,Rio na Demu ninayempenda namsubiri aje bongo nimtongoze Nairobi.

Hakikisha umeangalia zote vizuri ila Money Heist hata ukiishia season ya pili.

N:B Muda mwingine tufurahie kwa kujadili vitu vyepesi na siyo kujiumiza kwa siasa za Tanzania zisizoeleweka
The Blacklist
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom