Prison Break vs Money Heist

Prison Break vs Money Heist

Yaah mkuu...!! Kila mtu na anachokipenda me kwenye list nakuta mtu kaweka series kama jumong[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]nabaki sielewi
katika best historic drama basi Jumong nayo imo. Ila kiujasusi Hapana
 
Mwenye action movies za Korea atupie hapa jamani hata kama ni love stories kama vile;

*Into the bad land

*Endless love

*Temptation

*..............................
 
Hata Kama Mzee

Hata kama ..... Mi acha nipate dolali zangu hizi chache nikitaka kucheki game lolote la liva ntaenda uwanjani nikitaka kula chochote ntakula nkitaka gari lolote la bei ya wastani ntachukua

Ila sio kupumuliwa mzee sio kabisa
But they are only Acting. Sasa mle ni ushoga wa maneno I guess hujaona Spartacus zote 4
 
Hiyo ni ya kivita, ngumi, karate, comfuu au love stories Bosi?
Kwa kutumia akili zaidi PB inaongoza ila kwa matukio yenye kusisimua Lacasa La casa de papel ni the best. Yaani una feel kabisa uchungu wa tukio. Ref Kifo cha Berlin
 
Hata mimi hiyo Jumong naifananisha na Sultan tu wala sioni lolote jipya [emoji16]
Yaah mkuu...!! Kila mtu na anachokipenda me kwenye list nakuta mtu kaweka series kama jumong[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]nabaki sielewi
 
Taja mkoa ulipo kama nami nipo hapo nitakuletea PB zote na Money heist zote. Ni za Heist... heist ni mpango wa kutumia akili zaidi
Hiyo PB siipendi hata kuisikia na kama hiyo money heist inafanana na PB ni bora hata usihangaike kabisa kuniletea.

Nimeshatuma baadhi ya action movies ambazo nazipendaga hapo juu nadhani ingekuwa vyema uzitumie references kwa aina ya action movies ninazohitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom