Prison Break vs Money Heist

Prison Break vs Money Heist

Alivyotunguliwa Nairobi pale dirishani wife kidogo alie..
Kwa kutumia akili zaidi PB inaongoza ila kwa matukio yenye kusisimua Lacasa La casa de papel ni the best. Yaani una feel kabisa uchungu wa tukio. Ref Kifo cha Berlin
 
Profesa ameAct vizuri sana kwenye muvi yake. Money heist ni moja ya movie kali sana, lakini bado huwezi kufananisha uwezo wa Prof na Scofied. Scofied yupo na uwezo mkubwa zaidi.

Movie ya Prof kwanza inapofika season ya 3 tu,uwendo umeshaanza kupungua, sipati picha ikija hiyo season 4 itakuwaje, natabiri itakuwa inapoa sana.

Michael full season, sita sijui tano,zote kali. Prof bado anasubiri sana kwa michael, prof mipango yake yote inakamilika, hana hata mpango mmoja unaobuma kitu ambacho kwenye maisha ya kawaida hakuna. Ila michael tumeona mipango mingine imebuma and akatafuta plan b haraka haraka mambo yanaenda,hii imesaidia sana kunogesha movie na kuendelea kuipa uhai ya reality.
 
Profesa alikuwa anahitaji huruma sana za watu na misheni zingine zilikuwa zinatokea tu boom hata mipango huioni yani ghaflaa...!!
 
Taja mkoa ulipo kama nami nipo hapo nitakuletea PB zote na Money heist zote. Ni za Heist... heist ni mpango wa kutumia akili zaidi
Kiongozi kama una 24 , season ya kwanza mpaka mwisho , naitafuta sana
 
Tazama POWER series ya libabe umuone Tommy alivyokuwa mbwa na Ghost muuaji anayejificha katika biashara
Inahusisha supernatural power? Kama ni hivyo inipite mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom