Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Feb 26, 2017 #1 Haya mambo mengne itakuwa shida kwenye kukabidhi
mtugani wa wapi huyo JF-Expert Member Dec 5, 2012 1,239 1,475 Feb 26, 2017 #2 Wakabidhiane tu Hakuna namna
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,662 59,000 Feb 26, 2017 #3 Hio ya mke ni ya kutunga hakuna ukweli hapo.. Wataalamu wa kusoma sahihi tunasema hizo signature za wake zao zimeandikwa na mtu mmoja
Hio ya mke ni ya kutunga hakuna ukweli hapo.. Wataalamu wa kusoma sahihi tunasema hizo signature za wake zao zimeandikwa na mtu mmoja
L login-logout JF-Expert Member Feb 11, 2017 246 351 Feb 26, 2017 #4 Picha za hao wake kwanza tuzione