Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 517
Hahahaha dah jambo usilolijua bwanaYah ni Dada anayejitambua sana
Hebu tupe unayoyajuaHahahaha dah jambo usilolijua bwana
Ndo inaenda kugeka kua kweli.Sawaa rudi kwenye ndoto sasa umvishe pete
Yaani dada Prisca Kishamba ni BONGE LA MTANZANIA MWENYE KUJITAMBUA.....Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
π€£π€£π€£Sawaa rudi kwenye ndoto sasa umvishe pete
Lipi lisilojulikana na wengine?!!!Hahahaha dah jambo usilolijua bwana
πππππͺπͺYah ni Dada anayejitambua sana
Kwani KUJITAMBUA ni wajihi ,sura na mwili mrembo ?!!!π€£π€£Picha tafadhali tuone kama tunaweza kukupa support
Amri ya tisa ya Mungu inasema usitamani mke wa mwenzio!Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.
π€£π€£Amri ya tisa ya Mungu inasema usitamani mke wa mwenzio!
Picha tafadhali itanogesha Uzi, au naongopa ndugu yangu?Wadau kwanza naomba radhi kwa nilochokiandika endapo huyu mlimbwende atakua ameolea.kwanza naomba mwenye taarifa sahihi juu ya huyu binti kama ameolewa au la.Nimeamua kumchugua mrembo huyu kwani ameonyesha kua yeye ni binti aliyelelewa vizuri na ametokea kwenye familia inayojitambua,dada huyu ni mpole na anauwezo mkubwa wa kukabiliana na matatizo.kitendo cha manara cha kumdhalilisha mara kadhaa na yeye kukaaa kimya nakuomba radhi japo hajakosea kwangu mm naona huyu mtu ni mke wa ndoto yangu.Tayari nimeshaanza maaandalizi kutoka mkoani kwenda dar ambapo ntakutananae ana kwa ana ili nimueleze nia yangu,raia yangu kwenu wanajamvi mniombeee ili lengo langu litimie na mpata shemeji na wifi yenu.mungu anitangulie.