Princes Casino - Posta Mpya

Princes Casino - Posta Mpya

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Wakuu nimekuwa nikipita mara kwa mara mitaa ya posta mpya karibu na IFM,kuna casino imefunguliwa pale inaitwa princess,Ningependa kufahamu member yoyote mwenye uzoefu na pale anijuze juu ya huduma na gharama zinazotolewa pale?Na vp kama wahudumu wa pale wanasomeka,kwa maana ya huduma nzuri?
 
Kwani unavyojua wewe kwenye ma-cassino huwa wanauza nini?
 
'Seeing is believing' nenda mwenyewe kafanye tathmin hata maramoja
 
Wakuu nimekuwa nikipita mara kwa mara mitaa ya posta mpya karibu na IFM,kuna casino imefunguliwa pale inaitwa princess,Ningependa kufahamu member yoyote mwenye uzoefu na pale anijuze juu ya huduma na gharama zinazotolewa pale?Na vp kama wahudumu wa pale wanasomeka,kwa maana ya huduma nzuri?

nenda mwenyewe, huduma nzuri kwangu inaweza kuwa mbaya kwako!
 
nenda ukaone alafu rudi humu jf utuambie uliyoyaona mule cassino
 
You are totally wrong, Cassino ni sehemu ya kucheza kamali. Na wala siyo danguro la machangudoa kama unavyofikiria wewe, na mara nyingi watu wakiingia pale mawazo yao yote yapo kwenye pesa.
 
hiyo ulaya tu...uku watu wanatafuta papuch za mteremko
 
Hata bongo ndugu yangu, Cassino ni kwa ajili ya kucheza kamali si kwa biashara hiyo. Lakini hayo mengine mnayaongezea nyinyi wakware, kwasababu hata pale chuoni CBE au IFM ni kwa ajili ya masomo lakini hizo biashara nyingine mnazofanya pale, hazina uhusiano na chuo.Mfano mwingine ni soko la Buguruni, pale ni kwa ajili ya mahitaji ya vyakula tu, lakini mmeongeza huduma nyingine kinyume na utaratibu wa uendeshaji wa soko lile,tena hata kodi hamlipi.
 
Back
Top Bottom