Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
apo hujakosea sana!mtumwa haachi asili yake.
lol... umaskini mbaya
mtumwa haachi asili yake.
hawa ni binamu zetu nini. Mbona weusi kama sisi na walifikaje Tuvalu?
hivi mwenye skandali ni Willy au Harry.....?
mimi naamini duniani tunapambana na kongopeana misikitini na makanisani kuhusu shetani, wakati kumbe shetani tumtafutaye ni mzungu.hawa sio watu hawa.