englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
thankyou notedMkuu Englibertm, hilo neno utarii umeliandika hivyo kwa makusudi kwa kuwa kuna ujumbe unataka kuufikisha au ni makosa ya kiuandishi? Nilitegemea utumie neno "Utalii" sio "Utarii".
Asante kwa picha lakini.
Tiba
Ningekuwa miongoni mwa hao watalii ningehuzunishwa sana na kushuudia huyo mbogo akiuwawa na kufanywa kitoweo live, huwa na penda tu kuona kama makala kwenye runinga. yaani mimi hata kuchinja kuku mimi mwenyewe huwa ni shida!
KE au ME
kwenye hilo nililongea KE au ME zinahusikaje kamanda? Ok mimi ni ME