BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Katika kupitia habari za magazeti Leo, nimekuta gazeti la risasi tena ukurasa aw mbele Kabisa kuna picha ya mtu akihangaika an akiwa kajaa damu, hii in picha ambayo ilitolewa an gazeti kubwa la Kenya na kuzua malumbano makubwa hadikupelekea muhariri wa gazeti hilo kufukuzwa kazi. Je kulikuana haja ya kutumia picha hii?? Binafsi naonaa ni kukiuka maadili .....