price tag za mahusiano / marriages | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

price tag za mahusiano / marriages

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MKATA KIU, Aug 14, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters

  Baada ya kupitia thread nyingi sana za mmu na stories za ndugu na jamaa nimegundua true love does not exist as everybody has a price tag,

  Bila kudanganyana kila mtu ana vigezo vyake kwanza kabla hajatoa upendo, ni kawaida sana kusikia mtu anasema " I culd not marry a man/woman asiyepita pita hata universtity kidogo kushiriki suplementary hata akutane na mdada aweje kama shule hajapita love escape through the window,

  Mwingine unasikia anasema awezi kuoa/kuolewa au kuwa na mahusiano ya uhakika na mdada au mkaka anaetoka familia maskini as maisha yamekuwa magumu sana anaona kama atabebeshwa mzigo so hata apendwe vp na hali duni yeye ni no.

  Mwingine anasema hawezi kuolewa/ kuoa mtu asiye na uhakika wa maisha I mean mwelekeo as hayuko tayari kulala njaa,

  Mwingine anamuacha mchumba wake kisa uginjwa eti mtu mgonjwa mgonjwa hamtaki na anasahau ugonjwa unaweza ukaja mda wowote hata kwake yeye,

  Mwingine proffessional ndo inadecide ampende mtu, yaan kama wewe mvuvi na yeye upendo alijiandaa kumpa engineer ujue hufai as uja fit price tag yake...

  yaan maisha yalivyo magumu ndo price tag za upendo zinazidi kuongezeka hii inakuaje wadau? Kwa nini mnajiweka price tag hadi kwenye emotions
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mimi nina mtazamo tofauti kwamba migogoro mingi sana kwenye ndoa husababishwa na watu kuweka hizo unazoziita price tag za upendo. Pale price tag za mahusiano zinapobadilika kwa walio ndani ya mahusiano ndipo matatizo huanza!

  Mahusiano na mapenzi ambayo hutokea naturally haya huwa hayaangalii kwa undani sana hizo price tag za ndoa na hujawa na uvumilivu na upendo wa dhati ingawa zinaweza kukabiliwa na vichallenge vidogo vidogo visivyoepukika.
  Ila sikatai kuwa mtazamo wa hili suala kati ya mtu na mtu bado ni tofauti sana na pengine unaweza kuwa sahihi kutokana na experience alizopitia mwenyewe au kusikia kwa watu wa karibu.
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ukisubiri true love kwenye dunia ya sasa utakesha for sure! Ile ya kupendana naturally bila kuangalia vigezo fulani fulani siku hizi imekua ndoto, vigezo ulivyo navyo ndo vitadecide mwenza utakaye mpata..wewe unaweza kumpenda mtu with your whole heart bila kuangalia elimu wala pesa kumbe yeye anakupendea vitu flani, wizi mtupu bora tuishi kwa kupretend tu!
   
 4. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwani we unaeleweka? watu wanataka uelekeo,ukileta habari zako za mungu atatujalia mbuzi anakata kamba then after few days u meet the gal anaroll in the stuff.and this is how we play with emotions
   
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  bila maslahi hakuna upendo, ni kujidanganya tu.
  Maslahi yanaweza kuwa tabia, dini, aina ya familia mtu aliyotoka, elimu etc.
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kama ulipitia kidato cha nne enzi zile nakumbuka kwenye mashairi ya Summons kuna Shairi la Isaac Mruma( When I say I love you) jikumbushe utapata ujumbe!
   
 7. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Kutokana na maelezo ya wachangiaji hapo juu, nashawishika kuamini kwamba watu wanaoingia katika ndoa kwa sasa wana matatizo ya kufikiri. Utaingiaje kwenye maisha ya ndoa ukijua wazi mwenzi wako anakupenda kwa maslahi tu? Na endapo maslahi yakiisha na upendo unakwisha pia. Bora kuishi bila kuoa na kuweka nguvu na akili nyingi kwenye kutafuta pesa tu.
   
 8. piper

  piper JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maisha ndo kisababishi kikubwa
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  TUsiotaka kuoa hatuna tabu za kuamua hili.
   
 10. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yaaaaaaaani! True love ni ndoto ya mchana hasa kwa mnaoamini kuwa haiexist.
   
 11. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nyie ndo mnatufanya tusioe, kwa hizi elimu zenu,

  sijui hata kwa nn nimesoma!!
   
 12. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Bado nashindwa kuelewa pale mtu anaposema nimempenda 'naturally'!
  Unampendaje mtu 'naturally'???..lazima kuwe na vigezo vinavyosupport upendo wako!..such as haiba, elimu, uelewa n.k
  Kama utafuatilia thread ya Dark City utaelewa vizuri..
  Tukubali tukatae nowadays emotions can also be dictated!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hivi watu wanaoongelea true love wao ni malaika???

  Hata hivyo, nafurahi kwamba kila kukicha wadau wanagundua kuwa hakuna mapenzi yasiyokuwa na sababu.....Kwa hiyo, tupende tusipenda, kumpenda mtu siyo ajali!! Na endapo mtu amejihakikishia kuwa maslahi yake yako safe basi anaweza kumpenda mwenzi wake organically na uhusiano wao ukadumu!!

  I don't believe in true or natural love, labda ile ya mama kwa mtoto wake...She will never let him/her go no matter what!...Ila hawa wengine tunaokutana nao tukiwa watu wazima na meno yetu 32, ni kujipa moyo tu na kuishi kwa matumaini!!

  Mungu wabariki na kuwasaidia nyote,

  Babu DC!!
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
 15. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Ni kweli kabisa lazima uwe na vigezo. Pia hii inasababishwa na mazingira tuliyokulia. For me tokea nipo mdogo nilitamani sana kuwa na engineer because of my dad and mum lakini naona watu wengi ambao huwa nakuwa na crush nao sio engineers kabisa na niliowaona ni pasua kichwa so nimeamua niende kwa alternative ya pili.
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Ndo ipi hiyo Double K??


  Unaweza ku-share na sisi??

  Babu DC!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45


  Haahahaha nitakushirikisha usijali, education wise atleast awe na degree with a good job that we can support the family. Profession wise itategemea as long as he his confident with himself.
   
 18. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MKATA KIU can i have another idea pls soree if u wont believe it,

  To me love tag was when i was single b4 sijaolewa i had my preferences na huwezi amini ilikuwa ngumu kuzipata coz hakuna binadamu mkamilifu.
  Now mind set imebadilika after being in marriage in long time and see that human change depending on enviroments they live, now when it comes to love, i dont have any criteria i luv a person as he/she is u know why...?
  money i can find myself, happiness i can find myself, stress i allow no one to give me, children i have, mali like car, house ninayo, elimu ninayo so when i think of a love a man now thats not a criteria, coz sitakuwa namtegemea anipe elimu, anipe pesa noooop hata siku moja sitamuomba sanasana nitaomba ndugu zangu, na vitu vingine sitategemea kwakezaidi ya malavidavi now this is aged love ila kwa wale wanaoingia in first love watapingana sana na mimi.
  Kwa wakati huohuo huyu mwanaume yeye anaweza akahitaji msaada wangu will see/help to my capacity ila sio kila siku lol na hapa naweza fall hata kwa lay man mradi tu ajiamini na kujua kuwa anapendwa.
  Vitu vyote ni material vinatafutwa but love is in somebody's soul thats what called natural love, me i like it na natamani sana mtu anipende natural love not me with anything attached with me..
   
 19. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,186
  Likes Received: 2,628
  Trophy Points: 280
  kaka snow ball, kumpenda mtu naturally ni pale ulipo muona tuu, trust me nlishawah mwona binti m1 nlimpenda mara tu baada ya kumuona,,lkn vitu vingine viliongezea kumpenda zaidi, ila true love hiyo kitu haipo..huu ni mtazamo wangu tu
   
 20. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,980
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  na ndio tutaendelea kuchakachuliana tuu...so enjoy the utamu
   
Loading...