Prezdaa zuma akamata jiko jipya

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Rais Jacob Zuma aoa mke mwingine kwa utaratibu wa ndoa ya kimila.
 

Attachments

  • zuma.jpeg
    zuma.jpeg
    26.9 KB · Views: 120
  • zuma ktk ndoa ya kimila.jpg
    zuma ktk ndoa ya kimila.jpg
    48.1 KB · Views: 116
  • zuma n his wife.jpg
    zuma n his wife.jpg
    49.8 KB · Views: 120
Mimi namsifu sana Zuma kuwa muwazi kwa kuoa rasmi kuliko hawa viongozi wetu wanaofanya ukahaba na uzinzi kwa kificho wa kuwa na wanawake kila mkoa, wilaya hata tarafa. Ukiacha huko mikoani na mawilayani, wana mahawala na vimada katika kila wizara, idara na mashirika mbali mbali. Mawazo yao ni ngono tu ndiyo sababu wanashindwa hata kuongoza nchi kwa uadilifu.
 
.... mila zingine zinaungwa mkono na viongozi wetu wa kiafrika kwasababu zina saidia TAMAA zao!
 
Back
Top Bottom