Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,323
- 6,863
Pressure cooker inatakiwa kuwa stainless steel ukiona inaota kutu ujue hiyo ni feki mkuu.Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na msaada
Steel wire
Ila bado nitumie njia gani?
Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Usijekuta umenunua pressure cooker ya elfu65 ukapunguziwa mpaka elfu60 alafu unakuja kutupigia makelele hapa.Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na msaada
Steel wire
Ila bado nitumie njia gani?
Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Sasa hebu tueleze vizuri ni kitu gani kinatoa kutu,ni ile sufuria yake au au nini? kama ni sufuria basi kanunue sufuria mpya zinauzwa nyingi tu madukaniPressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na msaada
Steel wire
Ila bado nitumie njia gani?
Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Nimenunua 100k mkuuUsijekuta umenunua pressure cooker ya elfu65 ukapunguziwa mpaka elfu60 alafu unakuja kutupigia makelele hapa.
Ndio sufuria yake ndio inatoa kutu mkuuSasa hebu tueleze vizuri ni kitu gani kinatoa kutu,ni ile sufuria yake au au nini? kama ni sufuria basi kanunue sufuria mpya zinauzwa nyingi tu madukani
ok kanunue nyingine,zipo nyingi tu madukani,siku nyingine unapoisha iwapo utanunua mpya,usitumie still waya kuosha,uwe unatumia maji na sabuni tuNdio sufuria yake ndio inatoa kutu mkuu
Hiyo utakuwa ulipigwa mkuu.nadhani kubali tu matokeo.otherwise sema labda kama unatumia maji ya chumvi sanaPressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na msaada
Steel wire
Ila bado nitumie njia gani?
Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Ndio maji ya chumvi natumia mkuu ila mwanzo haikuwa iviHiyo utakuwa ulipigwa mkuu.nadhani kubali tu matokeo.otherwise sema labda kama unatumia maji ya chumvi sana
Hakika nilipigwa mkuu, hili ni chuma sio aluminiumUtakua uliuziwa preshakuka la chuma cha kawaida badala ya aluminium... Kwa kifupi ulipigwa
Kama sio aluminum achana nalo lisije kukuletea tetanusHakika nilipigwa mkuu, hili ni chuma sio aluminium
Weka pichaBasi hii itakuwa fake nitumie njia gani Sasa wakuu? Au nibadilishe lile sufuria la ndani?