Pressure 123/81mmHg

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
535
329
Wadau wenye utaalam hii presha inamaanisha ipo kawaida au imezidi? N je nini kifanyike kuiweka sawa?
 
Hivi vipimo vya pressure aisee, ni kuwa navyo makini. Vinaweza kukufanya uishi ukidhani una tatizo la pressure. Kuna mwanangu mmoja tolu kimbao mbao alijisikiaga tu kwenda kupima pressure kwenye majibu nikasikia anaulizwa mara tatu tatu "ulikunywa kahawa" mwana alikataa.
 
Hiyo ni normal blood pressure high pressure ni 140/80mmHg na low blood pressure ni ikiwa chini ya 90/60mmHg kwaiyo ondoa hofu
 
Attachments

  • bp-range-chart.jpg
    bp-range-chart.jpg
    113.5 KB · Views: 5
Google ipo lakini hamtaki kuitumia. Mbali na kujua presha yako hakikisha pia unajua kiasi cha sukari na lehemu (cholesterol). Hawa jamaa watatu - presha, sukari na lehemu ndiyo waamuzi wa urefu wa maisha yako hasa kwa wanaume mnaovuka 45 huku. Hawa jamaa wakikorofisha basi matatizo ya moyo, kiharusi, nguvu za kiume, figo na mengine lukuki yatakuandama....

Screenshot_20231122_133141_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20231122_132923_Samsung Internet.jpg
 
Hivi vipimo vya pressure aisee, ni kuwa navyo makini. Vinaweza kukufanya uishi ukidhani una tatizo la pressure. Kuna mwanangu mmoja tolu kimbao mbao alijisikiaga tu kwenda kupima pressure kwenye majibu nikasikia anaulizwa mara tatu tatu "ulikunywa kahawa" mwana alikataa.
Kuwa tolu au kimbaombao hakuna maana kuwa huwezi kuwa na tatizo la presha maana kuna visababishi vingi ikiwemo kurithi. Cha muhimu ni kupima mara kwa mara na kufuata maagizo ya daktari...
 
Kuwa tolu au kimbaombao hakuna maana kuwa huwezi kuwa na tatizo la presha maana kuna visababishi vingi ikiwemo kurithi. Cha muhimu ni kupima mara kwa mara na kufuata maagizo ya daktari...
Inawezekana, huenda pia mwamba nae alikuwa na mastress yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom