Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

Wewe acha kupotosha umma tunachokiona sasa ni state system failure only. Hakuna raisi kutoka ccm anaweza kusaidia taifa hili maana ndo waasisi wa huu mfumo mbovu
 
Kaka Hoza bahati nzuri watanzania wenye ufahamu tulishampuuza. Hawa wanaomuhitaji lower-hasa ni wale waliojitoa ufahamu ktk jamii yetu kwa kutaka kuishi kwa jasho la wengine kwa kutofanya kazi bali kwa kupiga dili na kufisadi mali za umma.
 
Huyu ninani? Naye anatafuta ukuu wa wilaya? Mbona Kikwete kabakiza miezi Sita tu?

BACK TANGANYIKA

Mkuu,

Kwa jeuri ya jk hata akibakiza mwezi atateua tu....huo ndo uzuri wa katiba yetu....hata zezeta, dictator au kichaa....kibaya zaidi hasa kwa 'kulinda amani yetu' utasikia wazee wenye mvi zao hapo dar wakisema...rais msikivu, mzuri na mwenye maamuzi sahihi....serikali sikivu....

Back to the topic....sikutegemea na naendelea kushangaaa EL kuutaka urais.....nyuma ya kashifa zote hizo. CCM hawana mshipa wa aibu tena! Walijizoeza kuiba sasa wanataka kuiba mchana bila aibu...wanataka madaraka hata kama uadilifu hawana tena....wanataka kutumia nguvu za dola hata kama hawatachaguliwa.
 
Hahahahahaaaaaa . Team Lowasa wameshikwa pabaya. Kiukweli hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kumchagua Lowasa october mwaka huu .
 
kwa uandishi huu inaonekana viongozi wengi wana IQ bellow average ! Kama ni kweli huyu ni kiongozi wa elimu ya juu !
 
Kama huyo Comrade Hoza Anakiri kuwa Lowasa alikuwa na pesa nyingi tangia akiwa kijana mdogo.. Iweje leo ashangae lowasa kuwa na pesa nyingi akiwa mzee na baada ya kuwa waziri mkuu? Halafu kwanini aite press conference kwa ajili ya personal attacks kwa Lowasa ambaye sijawahi kumsikia akimshambulia mtu?? maana yake ni hii.. EDWARD LOWASSA NI MOTO WA KUOTEA MBALI... NI HOMA MBAYA NDANI YA CCM... Bhahahahahaaaaaa Kweli lowasa noma.. Hawa wanaomshambulia wanadhani wanamuharibia kumbe wanazidi kumpa promo ya nguvu. Bhahahahaaaaa
 

labda rais wa wamasai mkamchague huko masaini.
 
Kwa bahati mbaya maelezo haya yameelekezwa kwa fisadi lowassa lakini mtoa maelezo amesahau kueleza kuwa kwenye chama chake mtindo na tabia ya mlalamikiwa #lowassa ndiyo mfumo wa CHAMA CHA MAJANGILI,MATAPELI WA SIASA NA UOZO MWINGINE.
 
Lowasa aende akaongoze Ng'ombe zake na wamasai huko kwao.cheo cha urais wa wamasai alichopewa na wamasai wa afrika mashariki kinamtosha.
 
Waziri mkuu aliyejiuzuru kuokoa wezi wenzake wasiumbuke kusudi waje wafanye mizengwe nchi hii iendelee kutekwa na mambwaa koko ambayo hayajali kitu-bali wizi tu subiri ateuliwe nakuahidi watanzania watajua na mbuzi wa jirani aliyemuiba miaka hiyo!
 
Mkuu ocampo four tafadhali nimekuuliza kitu huku katika huu uzi.
 
Last edited by a moderator:
Siasa za Tanzania sanaa tupu vijana wengi wanatarajia kupata vyeo vya serikali kwa kukashifu wengine. Huu mtindo utatufikisha pabaya
 
Waziri mkuu aliyejiuzuru kuokoa wezi wenzake wasiumbuke kusudi waje wafanye mizengwe nchi hii iendelee kutekwa na mambwaa koko ambayo hayajali kitu-bali wizi tu subiri ateuliwe nakuahidi watanzania watajua na mbuzi wa jirani aliyemuiba miaka hiyo!

Nimecheka mpaka basi. Tangu asbh nilikuwa sijacheka kabisa. Asante sana.
 
Kuna waandishi wa habari walihudhuria hiyo press conference na wakaripoti kwenye vyombo vyao vya habari na wahariri wao wakaitoa hiyo habari?
 
Mbona mnahangaika sana???????? Mtatuaminisha sasa na sisi kuwa huyu jamaa anafaa

Aisee mimi ni kama wewe mkuu.. Hapo kabla niliona Lowasa hafai kabisa.. Lakini kwa hali ninayoiona nimegundua Lowasa anafaa sana tena kuliko yoyote ndani ya CCM. wengi wa wanaomshambulia wanajua kuwa Lowasa akipata u Rais watapoteza madaraka na ajira walizonazo kwa sasa.
 
Sijui umekula maharagwe ya wapi wewe. Mwaka huu presha zitawaua wajinga nyie mnatumika tuuuu. Kalale dogoooooo!!!!! Nahuko ulikoshikilia ni kuti kavu. Mburura wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…