Misukule ya SLAA NA MBOWE ione inavyohangaika. Mtakoma mwaka huunwa 2014, lazima mwishoni kabisa mtaambiwa mkapike majumbanu mwao. Ma-house maid bwana, wanakazi kweli ya kujikomba kwa mabwana zao
Ndugu yangu Chinga One ametokomea kupanga meza unajua ndugu yangu yupo kiukereketwa zaidi maana decision makers wote ni toka Kaskazini! Mmakonde na chadema wapi na wapi?
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
Sio Mtei tu,wote wenye mapenzi mema na Demokrasia Nchini tumechukia.Tunapenda tuone Zitto amefukuzwa ili ajaribu kazi nyingine.Mwenzake Dr.Lamwai karudi kufundisha,Maskini Zitto sijui kazi gani anayoiweza.
wakuu inafaa tamko litolewe na ben saanane na yeriko nyerere hii misukule mbowe ya mbowe kwenye ishu za kuuza sura kwenye tv na magazeti inapotezewa sana. yenyewe kazi yao ni nyuma ya keyboard tu. tunataka tuione mana wengine hatuwajui kabisa