Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Sasa unabisha nini wakati wewe ni KISEBENGO? waulize wenzio...
Mkuu kwani kisabengo siyo yule dada yako mkubwa wa pale bondeni mliyegombana siku ile mkakusanya watu rundo.
 
@Ilboru,

Anafanya makusudi tu huyo.Msamehe!

Much respect Mkuu...Ila hawa Waliberali inabidi kwenda nao mwendo mdundo, wana act as if kupanda kwa gharama za maisha haiwahusu, kupanda kwa umeme kwao sherehe, Kuuawa kwa Tembo kwao Shwari tu, wananchi kuuawa kwao safi, biashara ya sembe kwao faida, Kugawa madini yetu kwa wageni kwao safiii...kukosekana kwa huduma za kijamii kwao vicheko ...hawa ni zaidi ya punguani...lazima waondolewe wote ili Tanzania yenye Neema ipatikane kama Mungu alivyotaka!...
 
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
safi sana tunataka mtupatie hiyo
 
Sipati Picha Bonge La Chama Likianzishwa Pale ZZK , Pale MABELE , Pale KITILA. Huku MTWA MKULU Hakuna Ukabila Hakuna Kujuana Hakuna Usaliti, Democracy Si Uhaini , Upinzani Wa Kweli MBONA MTATUJUA 2015!
Naona umhimu wa wazo lako naomba iwe hivyo mkuu ngoma itakuwa bomba kweli.
 
karibu kwenye jumuiya ya ushindi , nimekufuatilia tangu uliposimamishwa , mwenendo wako umekuwa wa kupigiwa mfano , hongera !

Asante sana kamanda.Mapambano yanasonga mbele kwa kasi na uimara zaidi
 

Hebu thibitisha haya madai yako.Kwenye Cv ya Ben haionyeshi hayo mambo uliyoainisha hapa kua ndio aliyosomea India.....so prove your allegation beyond a reasonable doubt ueleweke.
 

Mkuu acha kuchanganya maada, kwani ni nani anapenda ujangili?? Leo hatulijadili hilo..
 

Aliyekuita Kisebengo kakupatia hasa!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwani kisabengo siyo yule dada yako mkubwa wa pale bondeni mliyegombana siku ile mkakusanya watu rundo.

Loh Kumbe kuna KISEBENGO Remix...ok! inaonekana ajira ya pale Lumumba criteria mojawapo inayotumika ni shurti uwe na tabia hizo ee... understood mom!
 
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?

Hongera kutoka jela...hata Mandela alifungwa gerezani na mwisho akawa Rais!
 
@Juliana Shonza karibu utudhibitishie hapo (bold) ukweli wake na tupate kujua ni viungo gani unatumia katika kujiendeleza zaidi?
 
Sasa unabisha nini wakati wewe ni KISEBENGO? waulize wenzio...

Ha! Ha! Ha! Ha! KISEBENGO ! Mkuu umenikumbusha mbali mno , umenikumbusha enzi za ORCHESTRA MAQUIZ ORIGINAL NA TSHIMANGA ASSOSA !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…