mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?
Kisebengo babu yako
Mbowe ni mtu ambaye anaendekeza ukanda na ukabila sana ndo maana anatamani sana kumsajili fisadi EL na Sumay
Alimikosha, aliposema zitto leo kavalia sanda!
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...
shikamoo saa 8
Kweli wewe Kisebengo msumari umekuingia vizuri..Kisebengo babu yako
Dr mkumbo na mwigamba wamenyang'anywa uanachama na marando amerudisha kadi
Mkuu kama ulikuwa hujui kama mimi ni kwamba Ben Saanane analipwa million moja (1,000,000Tsh) kwa mwezi kwa kazi hii hii unayoitaja ya kushinda facebook, twiira(twitter hawezi kuitumia hayumo), targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs na hii ndiyo proffesional yake aliosomea India! Ukistajabu ya CHADEMA utashangaa ya Ben! #amezoeavyakunyongahuyu !Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.
Wazee Wagongo Mnapenda Matusi Sana! Yeriko Ubaya Wake Mambo Yakimwendea Kombo Anazima Pc, Anakimbia
Kiongozi salama?... Ngoja tusubirie Antivirus report...hope folder lote limesha safishwa...
Sasa unabisha nini wakati wewe ni KISEBENGO? waulize wenzio...
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...
amekuuliza nani kama upo wapi?