Presion air wameshaita watu au kwa ajili ya interview

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi
 
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi

Wewe hata jina la kampuni hulijui halafu unategemea wakupe kazi? nIlifikiri title ya thread ni typo, lakini umerudia kosa ndani tena. Just forget about this job mkuu!!!!!!!!!!!!
 
jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi

presion air???
Kweli wewe ulikuwa applicant, mbona unashindwa kutaja jina la kampuni unayo omba kazi?
Haya bwana, usije kusema bujibuji nimekuroga ukose kazi.
 
Kama hamna majibu mnyamaze na nyie. Mbona mimi nimeelewa anaulizia shirika la kina mramba
 
kulikuwa na interview za post za accountants week 3 zimepita sasa. walishaita ndugu

QUOTE=mwana mnyonge;2875806]jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado?

wenu katika kutafuta kazi[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom