MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
CCM MMEACHA NJIA MMEACHA KUANDAA VIONGOZI SASA UONGOZI NI KUENDANA NA UPEPO.
Wasalaam wanajukwaa!
Tokea enzi za Mwalimu CCM walikua na utaratibu wa kuandaa viongozi ambao baadaye tunawapata marais, speaker, Makamu wa Rais na mawaziri wakuu. Hivi sasa tuseme uongozi umekua ni kama zali hata mimi mkulima wa Mpunga huku Nzega nikikaa sawa naweza kua Rais wa nchi au waziri mkuu. Itategemeana na ushawishi wangu kwa anayegombea nafasi ya Urais kwa wakati uliopo akinichagua kua mgombea mwenza au hata Rais aliyepo madarakani. Tuseme labda ni kukua kwa Demokrasia ndani ya chama na nchi kwa jumla?
SIFA ZA PRESDENTIAL MATERIALS
1.Hua na hekima na busara
2.Hua na huruma na wananchi wa kawaida
3.Wazalendo wa kweli
4.Huzionea huruma rasilimali za nchi
5.Wavumilivu wanapokosolewa
6.Watu wa aina hii hujaribu hata kugombea mara nyingi nafasi ya Urais, hushindwa na kisha kurudia tena na mwishowe hushida.
7.Hua na mtazamo wa mbali zaidi kuhusu taifa.
8.Hua ni watu wa mageuzi
9.Hua tayari kuwajibika pale inapobidi
HASARA ZA KUTOANDAA PRESDENTIAL MATERIALS.
Hawa watu huandaliwa na mifumo ya vyama vya siasa na huanza kujitokeza kwenye kugombea nafasi za juu mapema.Kinyume na hapo watapatikana viongozi ambao kwa hua ni kama zali tu. Ukiwakosa watu wa aina hii utegemee kukutana na haya.
1.Hua siyo watu wa hekima na busara kwenye maamuzi.
2.Si wavumilivu kwenye kukosolewa
3.Hua ni watu wa visingizio hasa pale mambo yanapokwenda mrama
4.Si watu wa kuridhika na vyeo
5.Wengi hua watawala wa kiimla kwa maana ya kua na hofu na nafasi zao.
5.Wagumu kuwajibika
6.Hawana uchungu na rasilimali za taifa.
7.Uongozi kwao huja kama zali bila kutegemea, si watu wa kujaribu nafasi za juu kila mara.
8.Siyo wakweli mara nyingi
Hapa sizungumzii mtu wala kugusia cheo cha mtu ispokua nagusia mifumo yetu ndani ya vyama vya siasa tuna utaratibu wa aina hii