President Kikwete stop this madness please or resign!

Yanayoendelea leo hayahitaji mganga wa kienyeji kujua kwamba inawezekana serikali hii sio timu moja. Kila mtu anakufa kivyake. Namuonea huruma sana maana JK kama Lueteni kanali mstaafu wa jeshi, anajua madhara ya kuongoza timu isiyo na nidhamu kwenye mission inayotaka integrity ya hali ya juu.
 
MMJ anauliza ikiwa ndani ya serikali hakuna mtu mwenye busara kumshauri rais wetu mpendwa Jk.
Kwa mtizimo wangu wenye busara wapo ila busara zao wameamua kuzishikilia kwa kujiweka mbali na Rais baada ya kugundua kwamba rais amejisahau kwamba yeye ni rais wa watu wote bila kujali itikadi za vyama, dini au jinsia. Hakuna siri kuwa Jk ameikalia ofisi ya magogoni kama rais wa ccm na anapokea taarifa za makada wa chama chake zilizojaa majungu ya ki-ccm kama muungozo wa kiutendaji. Hebu tujiulize ni kwa nini jk alihamua kujiweka mbali na wasaidizi wake kichama/kiserikali katika kampeni zake na kuamua kushikana na familia yake? Hapa bila kuzunguka mbuyu ni kwamba Jk aliyaamini majungu aliyofikishiwa na chama chake. Sasa utaona kuwa ushauri aliopokea haukuwa sahihi kwani matokeo ya kura zake yalirudi nyuma kwa kasi kubwa.
Rais wetu tunamwomba ku-act kama rais na asikwepe majukumu ya rais wa nchi. Kazi za rais sii kuhudhuria kwenye hafla tu bali pia kuwa kichwa katika kutolea majibu ya masuala magumu pindi yanapojitokeza.
.
 

Ni uamuzi wa busara kama mmeamua hivyo. Ila hata kama mmeamua hivyo kiuanaume simseme mnaogopa nini kusema. Kwa mtazamo wangu wenzenu msiotaka kukutana nao wanalielewa hilo kuwa mtajikunyata na umma utawaelewa hivyo kuwa ni waoga. Mbinu moja ya mwoga ni kuvizia na kutegemea nguvu mbadala ziwe za giza au dola.

Changeni karata zenu vizuri taifa lisonge mbele likizama halitazama kwa wao tu bali ni kwa wote. Mwenye kuumia ni aliyeshika PATAMU kwa sababu hajazoea za Uswazi.
 
Hana meno. Ndio maana kila mtu ana ubavu wa kusimama na kutoa kauli zake mwenyewe (Sitta, Mwakyembe et la). Hata wasio na ubavu wameanza kusimama na kutoa kauli zao (Mary Chatanda et la). Watu kama Werema sasa hawaoni hata haja ya kumconsult kwenye issues nyepesi na nzito pia, wanatoa misimamo yao tu na ''kufunga'' mijadala.

Jamaa hawezi kabisa. Marehemu mzee Nyerere (RIP) aliliona hili na akajaribu kumchelewesha urais ili werevu wamnyime nafasi kabisa huko mbeleni.

Hatuwezi kuendelea nae mpaka 2015. Something should be done fast. Tunisia wameweza. Kimsingi hatuna Rais
 

Thank you Mwanakijiji.

This country may go down, not because we dont have creative, intelligent and wise minds to do away with the existing deflections but because we center solution to every problem to either one person or institution. Whenever there is a problem we think the solution is either the president or the State House. What if the president himself is a problem? do you think you can solve the prolem through the mind that created it?. No way, we dont have enough time to waste hating or blaming anyone, lets get up, dust ourselves and seek a common ground as a nation to move foward. Sometime, somewhere our national principles have been challenged. Come to Nkurumah Hall tomorrow so that we reach consensus on how we can get back to them.

GZ
 

Hivi wanajua hata kama kuna legacy!?Wanasiasa wachache sana hapa Tanzania wanafikiria hiko kitu.Watu wanajali wakati huu!Wanasahau kabisa kuwa historia itaandikwa na watu watakuwa na cha kusema juu ya maisha yao na uongozi wao.
 
JK alikwenda kwa mbwembwe nyingi kuifariji familia ile late Mzuzuri aliyofanya mauaji ya dereva wa daladala! Leo amekosa wa kumshauri kutoa salamu za pole kwa mauaji ya Arusha???? Shame on him...!
 
haka kasenge kastaafu tu mie hata bure nikipewa vifaa namtungua
 
Kesi na uamuzi wa DOWANS ilifanyika hapa hapa Mourvenpick , jamani its a shame, big shame.
Hivi Ngeleja alipata wapi guts za kusema tunalipa mabilioni yote hayo bila kupeleka baraza la mawaziri, lazima kuna kitu kizito ndani. Ngeleja mtoto mwadilifu wa Rostam hongera.

Nategemea JK achukue hatua, ngoja tuone atafanya nini juu ya huu uhuni
 
kwani mbeki aliwezaje kujiuzulu? Inakuwaje hapa ngumu? Tutoe wapi shinikizo wana wa nchi ili hili lliweze kutekelezeka?
 
alivoaskia IKULU ni mzigo mzito aljiua anaenda kubeba zigo la kokoto enh...............sasa akome.:clock:
 
I never thought I would say this, but I actually think Kikwete has been great for Tanzania. Whether by accident or calculated, we should all be thankful. Think about it!!

...nakuunga mkono kwa hili hata kama you 'may' had a skeptical approach. We should not underestimate the determination of JK, the quiet man. Zile zama za kuzibwa midomo au kuwekwa kizuizini zilishapitwa na wakati. JK ni wakili mzuri wa Rule of Law, historia itamhukumu.



"JK symbolizes the evolution of the post-independence generation who grew up under President Nyerere and whose ideas on politics and the trajectory of development were shaped by a deep sense of nationalism but with a broad and critical understanding of the connection between Tanzania and the rest of the continent." - Nyang'oro.
 
Namuona kwa mbaali Senor Ocampo akipiga jaramba kwa ajili ya Tanzania naona kwanza atakipiga kwa Ivory Coast then atakuja kumalizia mechi TZ tusisahahu huko kenya krosi zote zimekuwa goli sita
 
Dawa ni mapinduzi kumwondoa madarakani tu hata kama ni kwa lazima. Ina maana Tanzania inakosa watu wa kuadvocate hii kitu? Jamani mi nimechoshwa na jinsi tunavozidi kuonekana mabwege na nchi kukosa dira na mwelekeo. Hili suala inabidi tulivalie njuga watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu.
 


Yani mimi nikiona picha tu ya huyu fisadi napatwa na hasira na siku yangu yote inakuwa ishaharibika, linatabasamu kama limeona fedha za kuiba kwa watanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…