President Kagame still my Hero

President Kagame still my Hero

Huyu jamaa ni Mnyarwanda ambaye alilowea huku kwetu. Unajua sisi Watanzania ni wakarimu sana na hatuna ubaguzi, si wanyarwanda peke yao bali wengi sana kutoka nchi za jirani wamepitia huku kwetu. Serikali ya Tanzania iliwasomesha hawa watu wengi tu bila hata ya ubaguzi, tena walilipwa kama wanavyolipwa watanzania mfano ninao kuna jamaa alijiita yeye ni mtu wa Ngara lakini alikuwa ni mtusi na tulikuwa tunachukua wote mkopo, nimeshangaa hivi majuzi hapa namuona akipost facebook kuwa yupo Rwanda na ni Muandishi wa habari wa magazeti ya huko rwanda na anajisifu kuwa yeye ni mnyarwanda na anaipenda sana nchi yake nadhani inawezekana huyu nae ni kama huyo jamaa niliemtolea mfano hapo.

Viongozi wao wengi wamesomeshwa na serikali ya Tanzania lakini hawa vurugu ipo kwenye damu baada ya kuuana wao kwa wao sasa wanaona haitoshi, maana baada ya rwanda kustabilise wamerudi kwao na kutoa siri nyingi sana za hapa.

Ni wakati muafaka kwa Serikali ya Tanzania kujitazama upya na kuangalia chembechembe iliyobaki ya hawa jamaa na kuwafukuza maana ni hatari sana.
 
Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa.

Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na hiyo nia ya dhati amefanikiwa kwa kiasi fulani kupunguza saratani ya ukabila ndani ya Rwanda ndani ya miaka 20 tu. Si katika kuondoa ukabila tuu bali amefanikiwa kuboresha elimu na utoaji wa huduma za jamii hasa afya kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na nchi yeyote ya Africa. Kwa aliyebahatika kwenda Rwanda kabla ya Kagame atakubaliana na mimi jinsi rais kagame alivyo fanikiwa kwenye miundo mbinu, barabara , njia za mawasiliano etc.

Kuna wanao sema mafanikio hayo yameletwa na pesa zinazopatikana kutokana na uporaji wa madini Congo, Je ni nchi gani yenye kiongozi mwenye akili na commited kuleta maendeleo nchini kwake na wananchi wake haipori utajiri toka nchi nyingine?? Kwani marekani ilienda Iraq kuwasaidia wa Iraq?? ama waingereza na wafaransa walienda afganstan kuwasaidia wale waarabu???Mnajua wanawake na watoto wangapi wanakufa majeshi ya marekani yanapokuwa yanaenda kutafuta resources kwenye nchi nyingine??? Kwani hii mikataba mibovu tunayo lalamikia kila siku ya madini na makampuni , serikari za nchi yanako toka makampuni haya hawajui tunaibiwa?? Ama mnadhani Obama alikuja Tanzania kwa sababu anatupenda sana Wa Tanzania?? Rais mwenye akili anaye wapenda wananchi wake na nchi yake will do whatever it takes to bring about prosperity to his/her country. Eti Tanzania tunaenda kupigana Congo kwaajili ya kuwasaidia...Nchi za kusini mwa jangwa la sahara hususan South africa, Msumbiji etc tulizo zisaidia kupata uhuru wa kweli zinatusaidia nini leo hii zaidi ya kutushukuru tuu???

Tanzania inahitaji Rais mwenye u dikteta kama kagame aje kubadilisha mindset za watanzania kama tunataka maendeleo ya kweli vinginevyo hizi ngonjera tunazoimba kila siku hazita tupeleka kokote...Mtu yeyote anaye jaribu kuvuruga kilichojengwa anawekwa za kichwa kama yule generali aliyeuwawa hivi majuzi...Kiongozi yeyote mwenye vision anafanya hivyo kwa mvuruga nchi yeyote....Bongo kituko wanauwawa watu ki majungu majungu..mwangosi etl

WATANZANIA MAJUNGU NA WIVU WA KIKE HAUTA TUFIKISHA POPOTE

Kabla ya kulala leo fikiria tena ulichkiandika. Lakini ufanye hivyo kama wewe ni Mtanzania. Kama ni Mnyarwanda, huhitaji kufanya hivyo, tutashughulika nawe kwa njia hii.
 
Hi Unaishi wapi vile, ulishapata ndugu zako baada ya vita kule Kigari? PK kiongozi muuaji amejaa damu za watu, me siyo CCM lkn kwa swala la Rais wangu hapana nitaacha kazi nitaenda vitani kulinda nchi yangu.

Wanyarwanda rudini kwenu mtuache na Tanzania yetu, hata kama ni shida zilizopo nchini ni za kwetu nyie haziwahusu acheni kutaka kutogombanisha. Tunawaombea msijetena mkaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe kaeni kwa amani na msipeleke chokochoko huko DRC tulieni kwenu muendelee kuijenga Rwanda yenu.

Kagame kweli amewafikisha pazuri kwa kuuwa woooote wanaompinga, sisi hilo hapa kwetu halipo, tunaheshimu uhuru wa kutoa maoni, na ndio maana wengi unawasikia wakiikosoa serikali yetu na wanaendelea kuwepo mitaani bila tatizo japo ni kweli matatizo mawili matatu hayawezi kukosekana si tu kwa Tanzania bali hata kwa nchi ambazo zimeendelea.
 
Kagame ni rais bora africa.
Mungu ibariki Rwanda.
Mungu ibaruki Tanzania
 
Ndugu Melchior umeongea ukweli mtupu. Rais Kagame ni kiongozi shupavu, jasiri na mahiri kuliko yeyote barani Afrika na katika ulimwengu wa dunia ya tatu. Kwa kipindi kifupi cha miaka 20 tu amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuipa maendeleo na utulivu nchi ya Rwanda. Leo hii wananchi wa Rwanda wanafaidi matunda ya uongozi madhubuti wa Rais Kagame. Usiingie simanzi kutokana na maneno ya kashfa ya baadhi ya wanabodi hapa. Wengi ama hawajui au wanaongozwa na chuki dhidi ya Kagame kwa kusikiliza wanayoambiwa na vyombo fedhuli vya habari vilivyokosa weledi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ni kiongozi bora kuliko wengi kwa zama hizi barani Afrika. Ndugu mmoja hapa kasema eti "kikosi" cha askari 1,000 kitaweza kumkamata Rais Kagame, kwi kwi kwi. Kwanza kikosi hakina askari 1,000 labda kwa ragtag army which I doubt TPDF is (I'd like to think our forces are disciplined and properly structured like any other professional military).

Eitherway it is preposterous to think anyone can easily take down a proven combat-ready, highly disciplined, well equipped, battle-hardened force like the RDF, let alone capture Gen. Kagame, ha ha ha watu mnaota ndoto za mchana. It is plainly obvious that some of you are driven by emotions and hatred for Pres Kagame rather than facts. Mwingine analeta mambo ya uzushi aliyoandika Mchungaji Mtikila. We all know what a nut-case Mtikila is. He's eccentric and a loud-mouth whose word does not mean jack to anyone with an ounce of reasoning. Quoting Rev. Mtikila on Rwanda and Tutsis affairs is like quoting Louis Farrakhan on matters concerning Israel and the Jews. Hongera Baba Kagame!
 
Jamani leo hii mtafute kijana wa rwanda anaesoma hapa nchini mwambie achague pa kuishi mara baada ya masomo yake, usishangae atakapokwambia anatamani kubaki tz, huu ni ukweli na kama kuna mtu anabisha basi afanye utafiti. Pamoja na madhaifu yetu kisiasa na kiuchumi bado tz ndo nchi pekee afrika ambapo watu wapo huru, ni moja ya nchi ambayo raia yeyote akiwa na kibali huishi bila kubaguliwa. Iko siku tutapiga hatua, tuwe na imani na tujitume kufanya kaz, si vema kumtusi huyu aloweka hii thred ila inatakiwa ajiulize kwann raia weng wa rwanda hawapend kuishi huko,.
 
Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa.

Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na hiyo nia ya dhati amefanikiwa kwa kiasi fulani kupunguza saratani ya ukabila ndani ya Rwanda ndani ya miaka 20 tu. Si katika kuondoa ukabila tuu bali amefanikiwa kuboresha elimu na utoaji wa huduma za jamii hasa afya kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na nchi yeyote ya Africa. Kwa aliyebahatika kwenda Rwanda kabla ya Kagame atakubaliana na mimi jinsi rais kagame alivyo fanikiwa kwenye miundo mbinu, barabara , njia za mawasiliano etc.

Kuna wanao sema mafanikio hayo yameletwa na pesa zinazopatikana kutokana na uporaji wa madini Congo, Je ni nchi gani yenye kiongozi mwenye akili na commited kuleta maendeleo nchini kwake na wananchi wake haipori utajiri toka nchi nyingine?? Kwani marekani ilienda Iraq kuwasaidia wa Iraq?? ama waingereza na wafaransa walienda afganstan kuwasaidia wale waarabu???Mnajua wanawake na watoto wangapi wanakufa majeshi ya marekani yanapokuwa yanaenda kutafuta resources kwenye nchi nyingine??? Kwani hii mikataba mibovu tunayo lalamikia kila siku ya madini na makampuni , serikari za nchi yanako toka makampuni haya hawajui tunaibiwa?? Ama mnadhani Obama alikuja Tanzania kwa sababu anatupenda sana Wa Tanzania?? Rais mwenye akili anaye wapenda wananchi wake na nchi yake will do whatever it takes to bring about prosperity to his/her country. Eti Tanzania tunaenda kupigana Congo kwaajili ya kuwasaidia...Nchi za kusini mwa jangwa la sahara hususan South africa, Msumbiji etc tulizo zisaidia kupata uhuru wa kweli zinatusaidia nini leo hii zaidi ya kutushukuru tuu???

Tanzania inahitaji Rais mwenye u dikteta kama kagame aje kubadilisha mindset za watanzania kama tunataka maendeleo ya kweli vinginevyo hizi ngonjera tunazoimba kila siku hazita tupeleka kokote...Mtu yeyote anaye jaribu kuvuruga kilichojengwa anawekwa za kichwa kama yule generali aliyeuwawa hivi majuzi...Kiongozi yeyote mwenye vision anafanya hivyo kwa mvuruga nchi yeyote....Bongo kituko wanauwawa watu ki majungu majungu..mwangosi etl

WATANZANIA MAJUNGU NA WIVU WA KIKE HAUTA TUFIKISHA POPOTE

Mtu anapozungumza habari za Kagame najisikia kutapika,hata kama ni kweli so what? Peleka pumba zako kwa wajinga wenzako wasiomjua kimbaumbau huyo aliejaa damu za watu wasio na hatia.Udikiteta unaujua wewe
 
Kwa nini usiende kwenye jukwaa la wanyarwanda ukaposi huu utumbo wako?
PK kwanza wananchi ubnafsi baadae,tz kwanza familia yako,then kabila lako ,then chama chako ndo inafata nchi nyie makapuku semeni ukweli,ata kama pk ni diktet so longer ni kwa maendeleo ya nchi its ok,mbona mnamtaka EL pamoja na ufisadi wake lakini simply ni mchapa kazi na mtoa maamuzi magumu,msimchukie kwa sababu sio mtz penye ukweli tutasema,mfano kuna shule moja ya msingi iko chalinze iliibuliwa wakati wa m4c daima ,can u belive shule iyo after 50yrs iko jimbon mwa rais wa nchi?ayo ndo pk kama wewe ni waziri wa elimu unakuwa sacked immediately sio kubeba mawziri mizigo ,nchi hii itakuwa maskini 4ever kama maccm hayatatoka madarakani,pk hafanyagi kazi na mawaziri mizigo wasiokuwa na maadili,kuwa waziri Rwanda inabidi kwanza ujipime binafsi kama sipidi ya kagame unaiweza au ra ila bongo ilimradi uwe swaiba tu.au mropokaji mzuri kama jamaa aliyeenda kutubu kwa nabii Joshua.
 
Kagame ni muuaji na dikteta mkubwa. Bora tuendelee na JK wetu kwa vile ni mvumilivu na anheshimu utu wa watu

Utavumilia sana mpka unafika utakua unatembelea Ringi......!!!!!!!

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.
 
President of Rwanda Paul Kagame watz pigeni kelele wee huyu jamaa ana Akili zaidi ya Mkuu wenu wa Kaya. ImageUploadedByJamiiForums1392817337.833667.jpg kagamehttps://twitter.com/yolandemakolo/status/436103059312111616

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.
 
President of Rwanda Paul Kagame watz pigeni kelele wee huyu jamaa ana Akili zaidi ya Mkuu wenu wa Kaya. View attachment 140260kagamehttps://twitter.com/yolandemakolo/status/436103059312111616

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.

yeye ana akili kama yeye, but we are one as a nation, tofauti kubwa ndio hiyo, na tutawapiga kwakua tu wamoja...hatuna utengano kama wenu, nina rafiki yangu mtusi na anakiri kuwa wao ni wabaguzi , anakiri hilo,
 
Ndugu Melchior umeongea ukweli mtupu. Rais Kagame ni kiongozi shupavu, jasiri na mahiri kuliko yeyote barani Afrika na katika ulimwengu wa dunia ya tatu. Kwa kipindi kifupi cha miaka 20 tu amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuipa maendeleo na utulivu nchi ya Rwanda. Leo hii wananchi wa Rwanda wanafaidi matunda ya uongozi madhubuti wa Rais Kagame. Usiingie simanzi kutokana na maneno ya kashfa ya baadhi ya wanabodi hapa. Wengi ama hawajui au wanaongozwa na chuki dhidi ya Kagame kwa kusikiliza wanayoambiwa na vyombo fedhuli vya habari vilivyokosa weledi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ni kiongozi bora kuliko wengi kwa zama hizi barani Afrika. Ndugu mmoja hapa kasema eti "kikosi" cha askari 1,000 kitaweza kumkamata Rais Kagame, kwi kwi kwi. Kwanza kikosi hakina askari 1,000 labda kwa ragtag army which I doubt TPDF is (I'd like to think our forces are disciplined and properly structured like any other professional military).

Eitherway it is preposterous to think anyone can easily take down a proven combat-ready, highly disciplined, well equipped, battle-hardened force like the RDF, let alone capture Gen. Kagame, ha ha ha watu mnaota ndoto za mchana. It is plainly obvious that some of you are driven by emotions and hatred for Pres Kagame rather than facts. Mwingine analeta mambo ya uzushi aliyoandika Mchungaji Mtikila. We all know what a nut-case Mtikila is. He's eccentric and a loud-mouth whose word does not mean jack to anyone with an ounce of reasoning. Quoting Rev. Mtikila on Rwanda and Tutsis affairs is like quoting Louis Farrakhan on matters concerning Israel and the Jews. Hongera Baba Kagame!

endelea kujipa moyo but the facts that are undisputable ni kwamba hiyo morale unayoizungumzia hapa huko kwenu haipo, na utengano upo wazi kabisa baian ya makabila ya watusi na wahutu, wenzako sasa hivi wanazungumzia wakiwa nchi za mbali sijuui wewe upo nchi gani ukipost hii kitu, maana unawapa moyo wenzako ambao wamebaki na hawana namna ya kukimbia,
 
Jamani leo hii mtafute kijana wa rwanda anaesoma hapa nchini mwambie achague pa kuishi mara baada ya masomo yake, usishangae atakapokwambia anatamani kubaki tz, huu ni ukweli na kama kuna mtu anabisha basi afanye utafiti. Pamoja na madhaifu yetu kisiasa na kiuchumi bado tz ndo nchi pekee afrika ambapo watu wapo huru, ni moja ya nchi ambayo raia yeyote akiwa na kibali huishi bila kubaguliwa. Iko siku tutapiga hatua, tuwe na imani na tujitume kufanya kaz, si vema kumtusi huyu aloweka hii thred ila inatakiwa ajiulize kwann raia weng wa rwanda hawapend kuishi huko,.
mkuu mimi binafsi nina marafiki wengi sana wa huko na hawakupenda kurudi kwao, na wengine bado wako kigali, lakini wameanza kuondoka tena kigali na kuhamia miji mingine ya nchi jirani, hawana imani na uongozi uliopo na hawafurahishwi na hali halisi inavyoendelea kuwepo kwa vita na tanzania hawapendi maana wanajua it is a loosing battle, wenyewe wanakiri hilo, anayekuja hapa kulet aporojo msikilize na uachane nae maana ukweli unajulikana kwamba vita na Tanzania ni kwa hasara yao..
 
Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame wa Rwanda kwa mtizamo wangu anaendelea kuwa Rais Bora barani Africa.

Ni rais pekee africa anaye weka mbele maslahi ya nchi yake kuliko kitu chochote. Kutokana na hiyo nia ya dhati amefanikiwa kwa kiasi fulani kupunguza saratani ya ukabila ndani ya Rwanda ndani ya miaka 20 tu. Si katika kuondoa ukabila tuu bali amefanikiwa kuboresha elimu na utoaji wa huduma za jamii hasa afya kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na nchi yeyote ya Africa. Kwa aliyebahatika kwenda Rwanda kabla ya Kagame atakubaliana na mimi jinsi rais kagame alivyo fanikiwa kwenye miundo mbinu, barabara , njia za mawasiliano etc.

Kuna wanao sema mafanikio hayo yameletwa na pesa zinazopatikana kutokana na uporaji wa madini Congo, Je ni nchi gani yenye kiongozi mwenye akili na commited kuleta maendeleo nchini kwake na wananchi wake haipori utajiri toka nchi nyingine?? Kwani marekani ilienda Iraq kuwasaidia wa Iraq?? ama waingereza na wafaransa walienda afganstan kuwasaidia wale waarabu???Mnajua wanawake na watoto wangapi wanakufa majeshi ya marekani yanapokuwa yanaenda kutafuta resources kwenye nchi nyingine??? Kwani hii mikataba mibovu tunayo lalamikia kila siku ya madini na makampuni , serikari za nchi yanako toka makampuni haya hawajui tunaibiwa?? Ama mnadhani Obama alikuja Tanzania kwa sababu anatupenda sana Wa Tanzania?? Rais mwenye akili anaye wapenda wananchi wake na nchi yake will do whatever it takes to bring about prosperity to his/her country. Eti Tanzania tunaenda kupigana Congo kwaajili ya kuwasaidia...Nchi za kusini mwa jangwa la sahara hususan South africa, Msumbiji etc tulizo zisaidia kupata uhuru wa kweli zinatusaidia nini leo hii zaidi ya kutushukuru tuu???

Tanzania inahitaji Rais mwenye u dikteta kama kagame aje kubadilisha mindset za watanzania kama tunataka maendeleo ya kweli vinginevyo hizi ngonjera tunazoimba kila siku hazita tupeleka kokote...Mtu yeyote anaye jaribu kuvuruga kilichojengwa anawekwa za kichwa kama yule generali aliyeuwawa hivi majuzi...Kiongozi yeyote mwenye vision anafanya hivyo kwa mvuruga nchi yeyote....Bongo kituko wanauwawa watu ki majungu majungu..mwangosi etl

WATANZANIA MAJUNGU NA WIVU WA KIKE HAUTA TUFIKISHA POPOTE
Yeah mie pia namkubali sana, ni aina ya kiongozi anaye faa kwa afrika!! BIg up KAGAME!!
 
Nilisikia Pk amepenyeza wahamiaji haramu, kumbe washafika hadi humu?????
 
President of Rwanda Paul Kagame watz pigeni kelele wee huyu jamaa ana Akili zaidi ya Mkuu wenu wa Kaya. View attachment 140260kagamehttps://twitter.com/yolandemakolo/status/436103059312111616

Sent from my iPhone in Stralis Cabin.

ana akili nyingi kuliko baba yako labda, akili zenu za kuwaza kuuana na kukalia madaraka linganiasheneni huko huko kwenu.
 
Back
Top Bottom