President Kagame still my Hero

President Kagame still my Hero

mwanaume anaye jipendekeza kwa mwanaume mwenzake huwa ni mashoga!

Ha ha ha majeshi1981 wewe ni mufilisi wa hoja. Ukiona mtu anaamua kutumia lugha chafu kwenye mambo ya msingi ujue kichwani hana lolote. Hili ni jukwaa huru la kubadilishana mawazo. Inapotokea hoja kushabihiana basi si kosa kuunga mkono. Sio suala la kuitana majina ya kejeli kwa kuwa tu wewe ni mwenye chuki na Rais Kagame. Umeonyesha dhahiri kuwa una chuki dhidi ya "kabila" la watutsi. Umediriki hata kusema eti "watutsi ni watu wabaya sana" na eti wanawake wa kitutsi hawafai. Ndugu yangu dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana.
 
endelea kujipa moyo but the facts that are undisputable ni kwamba hiyo morale unayoizungumzia hapa huko kwenu haipo, na utengano upo wazi kabisa baian ya makabila ya watusi na wahutu, wenzako sasa hivi wanazungumzia wakiwa nchi za mbali sijuui wewe upo nchi gani ukipost hii kitu, maana unawapa moyo wenzako ambao wamebaki na hawana namna ya kukimbia,

Ndugu stroke hapa suala si kujipa moyo. Ukweli ni kuwa RDF ni jeshi kakamavu sana. Kama huamini waulize FARDC, FDLR na hata UPDF shughuli waliyoipata. Pili, mimi ni m-Tanzania mzalendo nisiyependa kupindisha ukweli. Siombei vita kwani madhara ya vita ninayajua. Lakini endapo itatokea vita na nchi yoyote basi nitajitoa kulitetea taifa langu la Tanzania hata ikibidi kujiunga na TPDF nitafanya hivyo. Rwanda ni moja,huo utengano unaozungumzia ni wa kufikirika. Kinachotokea ni kuwa kuna baadhi ya watu wenye chuki na Rais Kagame wanaofanya hila za kupandikiza mgawanyo kwa imani za "kikabila" ili kuipindua serikali halali ya Kagame. Wameshindwa kutumia kigezo kingine chochote kwa kuwa Rais Kagame amewafunika katika nyanja za elimu, usalama, afya na uchumi wa Rwanda ume-triple in a little over a decade - a precedence unheard of before in modern history.
 
umejaribu kuielezea vizuri.....ni nzuri......hapo umenifundisha kwamba we all have to be nationalistic........BIG UP
 
"There is one resource you can only impoverish by choice and that's people,if we invest correctly in people,we are as well off as anyone"
- President Kagame speaking to faculty at University of California San Francisco
 
Back
Top Bottom