Ndugu Melchior umeongea ukweli mtupu. Rais Kagame ni kiongozi shupavu, jasiri na mahiri kuliko yeyote barani Afrika na katika ulimwengu wa dunia ya tatu. Kwa kipindi kifupi cha miaka 20 tu amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuipa maendeleo na utulivu nchi ya Rwanda. Leo hii wananchi wa Rwanda wanafaidi matunda ya uongozi madhubuti wa Rais Kagame. Usiingie simanzi kutokana na maneno ya kashfa ya baadhi ya wanabodi hapa. Wengi ama hawajui au wanaongozwa na chuki dhidi ya Kagame kwa kusikiliza wanayoambiwa na vyombo fedhuli vya habari vilivyokosa weledi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ni kiongozi bora kuliko wengi kwa zama hizi barani Afrika. Ndugu mmoja hapa kasema eti "kikosi" cha askari 1,000 kitaweza kumkamata Rais Kagame, kwi kwi kwi. Kwanza kikosi hakina askari 1,000 labda kwa ragtag army which I doubt TPDF is (I'd like to think our forces are disciplined and properly structured like any other professional military).
Eitherway it is preposterous to think anyone can easily take down a proven combat-ready, highly disciplined, well equipped, battle-hardened force like the RDF, let alone capture Gen. Kagame, ha ha ha watu mnaota ndoto za mchana. It is plainly obvious that some of you are driven by emotions and hatred for Pres Kagame rather than facts. Mwingine analeta mambo ya uzushi aliyoandika Mchungaji Mtikila. We all know what a nut-case Mtikila is. He's eccentric and a loud-mouth whose word does not mean jack to anyone with an ounce of reasoning. Quoting Rev. Mtikila on Rwanda and Tutsis affairs is like quoting Louis Farrakhan on matters concerning Israel and the Jews. Hongera Baba Kagame!